mzalendokweli
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 579
- 138
Silence means Admission; If u er alleged to have said or done something which is detrimental to ur interests/reputation and under normal circumstances any reasonable person wld expect u to denie or say something abt t and u keep quiet then an inference may reasonably be drawn tht u actually said or did the so alleged conduct(with my emphasis from Evidence Act/1964 R:E 2002).Kukaa kimya nalo ni jibu kwa mtu ambaye hajitambui.
Martin Luther King, sikumbuki kama alikuwa anatukana watu matusi.
Lema ni mpu-uzi kumbe inamuuma kupoteza ubunge kama alijua anakula mkate wenye blueband kwann achezee kwny mchanga uwanahakati bongooo wanaharakai wako us na ulaya anakunywa viroba vyaungaleoo uje kujiita mwanaharakati kaa kimya fanya kaz ya chama chako arusha ilikuwepo b4 u na itaendela kuwepo even after u.shame on u Lema
Martin Luther King, sikumbuki kama alikuwa anatukana watu matusi.
unapoteza muda wako bure kumshabikia mfanyabiashara mu-hu-ni,ki-ba-ka, fanya mambo mengine ya maendeleo yako dogo atakuumiza huyo bwe-ge...
Martin Luther King, sikumbuki kama alikuwa anatukana watu matusi.
Kuna mambo huwa wanajibu ndani ya saa sita leo siku ya tatu wako kimya ni kwamba hawana na la kujibu nazi alichemka...Acheni uchonganishi! Kwa nini mnataka kuendeleza mambo kwa kujibishana? Ikulu kaeni kimya ni bora kuliko kujibishana ili sijui iweje? Never argue with................ Msitafute mshindi.
Mfanyabiashara MUHUNI, KIBAKA yukoje hebu tufafanulie tujue vyote na hizo shughuli za maendeleo unazofanya tuelezee tujue