Serikali yaifunga Hospitali ya IMTU

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,685
Taarifa zilizopatikana ni kuwa sakata la ukiukwaji wa Maadili uliosababishwa na chuo cha Tiba ( IMTU) kutupa sehemu za miili ovyo imesababisha chuo hicho kufungwa kwa muda usiojulikana.

Imegundulika kuwa Chuo hicho kimekuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu na sheria,imegundulika kuwa maabara zake hazijakamilika,hutoza ada kwa dola badala ya shilingi na mambo mengi kinyume na taratibu.

 
Kwa hiyo ndo suruhisho? Hao wanafunzi watawapeleka Muhimbili?
 
Kwanza Viungo Vya Watu Kwny Vyuo Vya Madaktari Huwa Wanavipata Wap Jaman Naomba Kujuzwa
 
Wanafunzi Itakuaje Sasa?? Au Ndo Imetoka?..
 
Kwanza Viungo Vya Watu Kwny Vyuo Vya Madaktari Huwa Wanavipata Wap Jaman Naomba Kujuzwa

Nilishawahi kusikia kuwa ni exchange program ya maiti silizokosa ndugu kati ya nchi na nchi ili mwanafunz asije akumkuta nduguye. Bt si jibu rasmi its just a hearsay.
 
Danganya toto.
CCM haina janja ya kuwafungia wahindi, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015
 
Kama Ni Kweli,Na Iwe FUNDISHO Kwao Na Wengine.A Human is a Human whether dead or Alive.
 
Hospitali ndo imefungwa na sio chuo na kufungwa kwa hosptall hakutokani na ile miili tuliyotupa bunju.

By Dokta wa IMTU kitengo maarufu maalumu
 
Imefungiwa hospitali sio chuo na sababu ni ukiukwaji was taratibu za wizara ya afya na hakuna connection yoyote cadava saga
 
Kwanza Viungo Vya Watu Kwny Vyuo Vya Madaktari Huwa Wanavipata Wap Jaman Naomba Kujuzwa

...kwamfano yale majambazi ya kova yanapelekwa rwanda na majambazi ya kagame yanaletwa bongo watu wayapasuepasue kamaivo...
 
This is what we call a rule of law!
 
kumbe kulikuwa na maudhaifu meng wanayaona wako kimya tu! Ujinga tu hawa watendaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…