Mkuu,
Ile walisema ni ofisi ya mbunge wa Urambo. Kwa vile kwa kipindi hicho mbunge wa Urambo alikuwa ndo Spika basi ikajengwa kwa hadhi inayoendana na spika.
Ila lengo la hilo jengo ni kutumika kama Ofisi ya mbunge (yeyote) wa jimbo la Urambo hata kama atatoka CDM.