Bin Chuma75 JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 1,008 Reaction score 1,115 Dec 19, 2012 #1 Wabunge kuteuliwa mawaziri ni sawa na mlalamikaji kuwa shahidi wa mshtakiwa. Kwa nyovyote lazima watenganishwe ili serikali iweze kuwajibishwa na wananchi kupitia wabunge wao wanaowawakilisha.
Wabunge kuteuliwa mawaziri ni sawa na mlalamikaji kuwa shahidi wa mshtakiwa. Kwa nyovyote lazima watenganishwe ili serikali iweze kuwajibishwa na wananchi kupitia wabunge wao wanaowawakilisha.