D Dik JF-Expert Member Joined Nov 15, 2011 Posts 1,205 Reaction score 416 Nov 24, 2011 #1 Jeshi la polisi/serikali tuwekeni wazi watz n nin kinamsibu mbunge wa kyela dk. Harison mwakyembe.ile taarifa alyoiandika kwa jeshi la polisi uchunguz wake haujakamilika?tendeni haki na Allah atawatunuku
Jeshi la polisi/serikali tuwekeni wazi watz n nin kinamsibu mbunge wa kyela dk. Harison mwakyembe.ile taarifa alyoiandika kwa jeshi la polisi uchunguz wake haujakamilika?tendeni haki na Allah atawatunuku