Ni dhairi sasa watanzania tu watu wa hovyo. ndio maana tulichagua watu hovyo. katika hatua ya kwanza, iwapo watz akili zetu zingekuwa na akili, tusingemchagua jeikeei.huyu jamaa ni hopeless. hajali wafanyakazi, mishara kiduchu, kodi kubwa na bado unacheleweshwa.
next time tujifunze, watu wa aina ya jeikei si wa kuwachekea, ni majanga tupu