Jaman, huku kutapatapa kwa CCM, kisa wazo la serikali tatu lilikuwa la upinzani na warioba basi wameona wakikubali moja kwa moja wataonekana wameshindwa. Wajinga kweli, walishindwa nn kuboresha mapema, walipoteza siku zote za mwanzo kwa ubishi na mbwembwe zote hawana lolote hao.