Bila Tozo hiyo ahueni ya mafuta zaidi ya bilioni mia mbili kwa miezi miwili unafikiria zinatoka wapi?Maendeleo yapi wamefanya kwa tozo za miamala.
Wenzako wanaodai refund ya hiyo VAT au hujuiKodi tunalipa sehemu zote tukinunua vitu vyote tunakatwa vat
Rasilimali ipi unaongelea mkuuKwa Rasilimali za nchi hii kodi ilipaswa kulipwa na.Wawekezaji pekee
Tanzania tuna kila kitu kasoro Vyama vya Upinzani tu
Kuna wauza chips wanafunga faida Hadi elfu themanini kwa siku, lakini Kodi hawalipi, wanachojua kupima vichipsi vya kizushi wanakuambia kavu elfu mbili na Kodi hawalipi.Hao wauza mboga na wauzq chips huwa wanalipa kupitia halmashauri. Ila labda tuseme wasajiliwe TRA au waongezewe kias. Ila Kodi wanalipa
Mikakati gani mkuuMikakati mibovu na wanaobanwa kulipa kodi ni wafanyabiashara wa madaraja ya chin
We juha kweli, hizo B100 mafuta yanapanda bei kila mwezi.Bila Tozo hiyo ahueni ya mafuta zaidi ya bilioni mia mbili kwa miezi miwili unafikiria zinatoka wapi?
Wewe unauza chips mayai hutaki kulipa kodi lakini kila wakati unailaumu serikali miradi haikamiliki
Lipa tozo kiongozi acha janja janja
Kodisha bandari na mlima Kilimanjaro kwa WATU makini nakuhakikishia hakuna Mtumishi atalipa Paye wala Kitambulisho Cha MjasiriamaliRasilimali ipi unaongelea mkuu
Madini yanachimbwa na serikali inakusanya kodi na JPM alibadili sheria tunakusanya zaidi
Utalii, Mama amefanya Royal Tour na tunakusanya zaidi
Bahari na ziwani tunakusanya zaidi
Taja vyanzo vipya vya mapato mkuu
Wakati fulani nikiwa bungeni watu walilaumu tunategemea kodi ya bia tu, Kila mwaka kodi ya bia iliongezeka
Sasa taja vyanzo vipya kumsaidia Mwigulu na nchi yako, Bila kuwa na suluhisho la mambo bora ukae kimya
Achana na hearsay mkuu, Ongea kama upo field uhalisia
Kwa Rasilimali za nchi hii kodi ilipaswa kulipwa na.Wawekezaji pekee
Tanzania tuna kila kitu kasoro Vyama vya Upinzani tu
Wigo ndio hizo Tozo sasa mnalialia nini?Nonsense. Kila nchi ina rasilimali na bado wanalipa kodi.
Unajua TZ haipo hata top 5 ya gold producers Africa, duniani haipo hata top 20.
Mbuga kila nchi zipo. Hatuna mafuta, natural gas inapatikana kila kona na yetu haina manufaa yeyote.
Mmemezeshwa ujinga mnaamini TZ tu ndo nchi yenye rasilimali wakati zipo kila kona na bado watu wanalipa kodi.
US ina mafuta, gold, natural gas, mbuga, milima, copper, bahari nk na bado kodi zinakatwa hadi mtu ukijamba tu. Same applies in Russia, China na Europe. Nenda South Africa tu hapo uone kama mnawazidi kwa rasilimali yeyote na uone wanavyokamuliwa kodi.
Bila kutanua wigo wa kodi mtaendelea kusubiri sana. Mleta uzi yupo sawa.