Serikali kuwasilisha Bungeni Muswada wa kurekebisha kikokotoo cha Mafao

Wasisahau na fao la kukosa ajira nna mamilioni yangu Kule dah mwendazake alikua kiboko
 
Nimeangalia mechi ya Yanga na Biashara Mara, kwakweli wachezaji wengi wana afya duni, wanaanguka anguka tu uwanjani, ipo haja ya kuangalia upya maswala ya menyu kitaifa.
Wewe kama hufungi kumbuka hii niramadhani kuna baadhi ya wachezaji wapo kwenye mfungo waramdhani.
 
Wewe kama hufungi kumbuka hii niramadhani kuna baadhi ya wachezaji wapo kwenye mfungo waramdhani.
Sawa mkuu ila bado swala la menyu ni tatizo; angalia hata mabondia wetu mkuu, wanapepesuka tu na bado wanarushiana ngumi.

Aina ya vyakula tunavyokula haina nutrients muhimu, watu tunakula ili tushibe tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…