PreGE2025 Serikali kujenga soko la kimkakati na ghala la kuhifadhi nafaka wilayani Biharamulo ili kuhudumia nchi za maziwa makuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
11,718
Reaction score
27,812
VIDEO FUPI : leo tarehe 21/5/2025 Mbunge wa biharamulo amehakikishiwa kujengwa kwa soko la mazao ya chakula katika kata nya LUSAHUNGA wilayani kwetu biharamulo.

Kupitia mchango wako bungeni katika bajeti ya wizara ya kilimo mh mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa amesema bajeti hiyo inaonesha kujengwa soko la mazoa ya kilimo na ghala ili kuhudumia nchi jirani za BURUNDI, RWANDA, UGANDA na mkoa wa kigoma hadi DR CONGO .

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ujenzi wa soko hilo itakuwa ni mwarobaini wa kadhia ya wakulima wa biharamulo kusafirisha bidhaa za kilimo kwenda mbali kutafuta wateja na sasa wateja watafuata bidhaa hizo LUSAHUNGA na kuinua uchumi wa biharamulo

Biharamulo inamuhitaji sana Eng Ezra Chiwelesa.

AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI
 
2025 kuna kuwa na mambo ya ajabu nimesikia mtapima ziwa victoria kina chake kujua mama anakubarika mitano ten
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…