Serikali kuhamia Dodoma

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,235
Reaction score
5,619
Baada ya Watanganyika na Wazanzibar kuanza kuhoji kuhusu Muungano kwa kasi, sasa nahisi kwa nini Jiwe aliamua kwa nguvu zote kuhakikisha ndoto ya serikali kuhamia Dodoma inatimia ili kuwa sehemu salama tofauti na kukaa Dar es Salaam karibu na Zanzibar.
 
okay 🐒
 
Kiukweli una uwezo mdogo sqna
 
Rais wa Tanganyika atakaa Ikulu ya Dodoma wakati yule wa muungano atakuwa Dar es salaam. Huo ndio mwelekeo hata kama kuna wabishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…