Wafanyakazi na watu wengi wamekuwa wakidai kupandishwa kwa mishahara kama suluhu la kupunguza au kuondoa ugumu wa maisha. Mimi nina mawazo tofauti na hayo. Kama ingekuwa kupanda kwa mishahara ndio suluhisho la ugumu wa maisha, basi kusingekuwa na tatizo tena.
Mimi nashauri serikali isipandishe mishahara badala yake idhibiti mfumuko wa bei na kushusha kodi katika bidhaa za mafuta na mishahara ya wafanyakazi ili kuleta nafuu ya maisha. Utaratibu huu utawanufaisha hata wasiokuwa na ajira rasmi ya kutegemea mishahara.
Sasa hivi baada ya fununu ya kupandisha mishahara kutoka nauli zimepanda kabla hata ya mshahara mpya. Hii ina maana hata huduma na bidhaa nyingine zitapanda au zimepanda kwa usafiri ndio kiungo cha mahitaji yote. Kupandisha nauli hakuna tofauti na kupandisha bei ya mafuta. Sasa hata mishahara ikipanda faida yake itakuwa ni nini wakati nyongeza itakuwa imemezwa mara mbili au tatu kutokana na kupanda kwa mishahara? Wakati huo huo huduma mbali mbali zitapanda kama kodi za nyumba.
Hapa ndipo ninapomkumbuka Mkapa ambaye hakuwa akipandisha mishahara kila wakati bali alidhibiti mfumuko wa bei na nafuu ilikuwa kubwa kuliko kupandisha mishahara. Hvyo wito wangu kwa wafanyakazi na vyama husika ni kuibana serikali idhibiti mfumuko wa bei na kushusha kodi ya PAYE lakini kuongeza mishahara sio suluhisho! Mishahara ikipanda kila kitu kitapanda kwa kisingizio cha kupanda kwa mishahara na ushahidi wa hili ni kupanda kwa gharama za usafiri kabla ya kupanda kwa mishahara. Sasa ongezeko la mishahara litakuwa na faida gani wakati tayari gharama zimepanda kabla yake.
Kama ingekuwa mishahara ikipanda vitu vinabaki na bei ile ile bila kupanda, maana ya kupanda kwa mishahara ingekuwepo. Balaa la sasa ni kuwa asilimia ya ongezeko la gharama za usafiri inaweza kuwa kubwa kuliko ongezeko la mishahara lililoahidiwa. Hili ni rahisi wala halihitaji digrii kujua. Hivyo kama serikali iko makini isitishe gharama mpya za usafiri, ishushe kodi ya PAYE, idhibiti mfumuko wa bei katika bidhaa za mafuta, umeme na vyakula bila shaka hali itakuwa nzuri. Kumbukeni wakati mdai mishahara mipya tayari Tanesco nao wanataka kuongeza gharama za umeme. Mishahara ikiongezeka watatumia kama sababu ya kuongeza gharama kwakuwa nao itawabidi kulipa mishahara mipya.
Hivyo kwa kutazama hali ya maisha ya Tanzania itakuwa ni kosa kubwa kupandisha mishahara bila kudhiti mfumuko wa bei za vitu na kwa kuwa tayari serikali yenyewe imeshaanza kwa kuongeza gharama za usafiri, itazuia vipi wenginie kuongeza bei za huduma zao. Mkapa bado yupo hebu serikali imtumie kwasababu sisi walipa kodi ndio tunaendelea kugharimia maisha yake mpaka atakapo kufa. Fuateni sera yake ya kudhibiti mfumuko wa bei bila kuongeza mishahara.
Kitu kingine kilicho wazi ni kuwa mishahara ikipanda maana yake na thamani ya shilingi inashuka! Kwa hiyo tutakuwa na hela nyingi zisizoweza kukidhi mahitaji. Tusipokuwa makini tutakuwa kama kisiwa cha Zimbabwe kama Mulugo alivyo alivyosema
If I were to grade you, your score is 0%Kutoongeza mishahara kiuchumi kunalenga kupunguza kiasi cha fedha mikononi mwa watu ili hiyo iliyopo kidogo ilazimishe upunguaji wa bei za bidhaa na huduma. Hiyo ni sayansi ya kiuchumi lakini je, inafanya kazi hivo katika mazingira ya Tanzania?? Jibu ni hapana!! Serikali haijaweza kudhibiti inflation na hili linafanya watu watumie pesa nyingi katika kidogo walizonazo hivo kushindwa kufanya hata savings!! Ninaunga mkono kwa mishahara kupanda hata kama net gain itakuwa zero! Kwa sababu savings za wafanyakazi zinapungua katika mazingira ya sasa. Ni baada ya hapo tu ndio inflation management ianze na ndipo savings zitaanza kupanda tena. Tunajenga taifa la "from pocket to mouth" na kushidwa kugharimia mambo ya mbeleni kama maandalizi ya uzeeni (wakati mtu hana kazi), savings kwa ajili ya elimu ya watoto na mambo ya ghafla kama maradhi, tozo za kisheria (faini za mahakamani) na kadhalika.
Nawashangaa kweli mnavyojihangaisha na kupoteza muda wenu kumsharu JK. Kama tumeshindwa kumuondoa madarakani kwa NGUVU YA UMMA, basi tumuache amalize muda wake, mwenyewe hana analolijua kuhusu uchumi, japo GENTLEMEN YAKE NI YA UCHUMI, anachokijua ni RIDHIWAN AENDESHE BIASHARA ZAKE KWA AMANI na APATE FAIDA, hata kama ni kuiuza nchi hii kwa WACHINA, kikubwa riz1 afanye lolote analoliweza kuongeza faida!!! Bora tujadili namna ya kuiokoa nchi 2015, lakini kwa rais yeyote kutoka ccm 2015, TUTAMKUMBUKA JAKAYA MRISHO KIKWETE, ATAONEKANA KUWA ALIKUWA RAIS BORA KULIKO YEYOTE ALIYEWAHI KUTOKEA, AMINI MANENO HAYA NA CHUKUA HATUA!!!
ndugu huo ndo ukweli wa mamboWafanyakazi na watu wengi wamekuwa wakidai kupandishwa kwa mishahara kama suluhu la kupunguza au kuondoa ugumu wa maisha. Mimi nina mawazo tofauti na hayo. Kama ingekuwa kupanda kwa mishahara ndio suluhisho la ugumu wa maisha, basi kusingekuwa na tatizo tena.
Mimi nashauri serikali isipandishe mishahara badala yake idhibiti mfumuko wa bei na kushusha kodi katika bidhaa za mafuta na mishahara ya wafanyakazi ili kuleta nafuu ya maisha. Utaratibu huu utawanufaisha hata wasiokuwa na ajira rasmi ya kutegemea mishahara.
Sasa hivi baada ya fununu ya kupandisha mishahara kutoka nauli zimepanda kabla hata ya mshahara mpya. Hii ina maana hata huduma na bidhaa nyingine zitapanda au zimepanda kwa usafiri ndio kiungo cha mahitaji yote. Kupandisha nauli hakuna tofauti na kupandisha bei ya mafuta. Sasa hata mishahara ikipanda faida yake itakuwa ni nini wakati nyongeza itakuwa imemezwa mara mbili au tatu kutokana na kupanda kwa mishahara? Wakati huo huo huduma mbali mbali zitapanda kama kodi za nyumba.
Hapa ndipo ninapomkumbuka Mkapa ambaye hakuwa akipandisha mishahara kila wakati bali alidhibiti mfumuko wa bei na nafuu ilikuwa kubwa kuliko kupandisha mishahara. Hvyo wito wangu kwa wafanyakazi na vyama husika ni kuibana serikali idhibiti mfumuko wa bei na kushusha kodi ya PAYE lakini kuongeza mishahara sio suluhisho! Mishahara ikipanda kila kitu kitapanda kwa kisingizio cha kupanda kwa mishahara na ushahidi wa hili ni kupanda kwa gharama za usafiri kabla ya kupanda kwa mishahara. Sasa ongezeko la mishahara litakuwa na faida gani wakati tayari gharama zimepanda kabla yake.
Kama ingekuwa mishahara ikipanda vitu vinabaki na bei ile ile bila kupanda, maana ya kupanda kwa mishahara ingekuwepo. Balaa la sasa ni kuwa asilimia ya ongezeko la gharama za usafiri inaweza kuwa kubwa kuliko ongezeko la mishahara lililoahidiwa. Hili ni rahisi wala halihitaji digrii kujua. Hivyo kama serikali iko makini isitishe gharama mpya za usafiri, ishushe kodi ya PAYE, idhibiti mfumuko wa bei katika bidhaa za mafuta, umeme na vyakula bila shaka hali itakuwa nzuri. Kumbukeni wakati mdai mishahara mipya tayari Tanesco nao wanataka kuongeza gharama za umeme. Mishahara ikiongezeka watatumia kama sababu ya kuongeza gharama kwakuwa nao itawabidi kulipa mishahara mipya.
Hivyo kwa kutazama hali ya maisha ya Tanzania itakuwa ni kosa kubwa kupandisha mishahara bila kudhiti mfumuko wa bei za vitu na kwa kuwa tayari serikali yenyewe imeshaanza kwa kuongeza gharama za usafiri, itazuia vipi wenginie kuongeza bei za huduma zao. Mkapa bado yupo hebu serikali imtumie kwasababu sisi walipa kodi ndio tunaendelea kugharimia maisha yake mpaka atakapo kufa. Fuateni sera yake ya kudhibiti mfumuko wa bei bila kuongeza mishahara.
Kitu kingine kilicho wazi ni kuwa mishahara ikipanda maana yake na thamani ya shilingi inashuka! Kwa hiyo tutakuwa na hela nyingi zisizoweza kukidhi mahitaji. Tusipokuwa makini tutakuwa kama kisiwa cha Zimbabwe kama Mulugo alivyo alivyosema
Nadhani mtoa hoja una point ktk hili.
Ila napishana na wewe kidogo tu.
unaposema wafanyakazi waitake/waiombe serikali kudhibiti mfumko wa bidhaa nchini.
hilo ni jambo jema, isipokuwa umelitenga kwao tu ili hali ukijua ugumu wa maisha unatuchapa sisi sote.
Iweje leo jukumu la kuibana serikali kufanya yote hayo waachiwe watumishi wa uma pekee?
Unajua fika serikali uliyonayo ni kiziwi hata kwa mambo ya msingi yanayogusa jamii yote.
mfano mzuri ni madai ya madaktari, je unajua mwisho wake?
Kumbe sasa kwa kuwa hawa watu/jamaa ni miungu watu hawataki kusikia wala kuambilika ni vema wananchi wote kwa pamoja tukasimama na kupaza sauti zetu kuieleza serikali ni mambo yapi yaipasa kufanya kwa ajili ya faida ya uma na si kwa ajili ya watu wachache tu, ( that means itafutwe namna ya kufikisha ujumbe kwa pamoja)
Mi nafikiri na niseme tu wafanyakazi (mf. walimu & madaktari) walishafanya mambo mengi ya kudai na kutetea mambo yao lkn pia yakiwa na dhima kuu ya kuwasaidia wananchi wote kwa ujumla bila kupata mass support ( support from ordinary people who own the government in power) na matokeo (impact) yake tunaiona sasa kwa baadhi ya mambo ktk jamii nzima.
Nadhani ni wajibu wa kila mtanzania kuliona hilo na si watumishi wa uma pekee.
Wafanyakazi na watu wengi wamekuwa wakidai kupandishwa kwa mishahara kama suluhu la kupunguza au kuondoa ugumu wa maisha. Mimi nina mawazo tofauti na hayo. Kama ingekuwa kupanda kwa mishahara ndio suluhisho la ugumu wa maisha, basi kusingekuwa na tatizo tena.
Mimi nashauri serikali isipandishe mishahara badala yake idhibiti mfumuko wa bei na kushusha kodi katika bidhaa za mafuta na mishahara ya wafanyakazi ili kuleta nafuu ya maisha. Utaratibu huu utawanufaisha hata wasiokuwa na ajira rasmi ya kutegemea mishahara.
Sasa hivi baada ya fununu ya kupandisha mishahara kutoka nauli zimepanda kabla hata ya mshahara mpya. Hii ina maana hata huduma na bidhaa nyingine zitapanda au zimepanda kwa usafiri ndio kiungo cha mahitaji yote. Kupandisha nauli hakuna tofauti na kupandisha bei ya mafuta. Sasa hata mishahara ikipanda faida yake itakuwa ni nini wakati nyongeza itakuwa imemezwa mara mbili au tatu kutokana na kupanda kwa mishahara? Wakati huo huo huduma mbali mbali zitapanda kama kodi za nyumba.
Hapa ndipo ninapomkumbuka Mkapa ambaye hakuwa akipandisha mishahara kila wakati bali alidhibiti mfumuko wa bei na nafuu ilikuwa kubwa kuliko kupandisha mishahara. Hvyo wito wangu kwa wafanyakazi na vyama husika ni kuibana serikali idhibiti mfumuko wa bei na kushusha kodi ya PAYE lakini kuongeza mishahara sio suluhisho! Mishahara ikipanda kila kitu kitapanda kwa kisingizio cha kupanda kwa mishahara na ushahidi wa hili ni kupanda kwa gharama za usafiri kabla ya kupanda kwa mishahara. Sasa ongezeko la mishahara litakuwa na faida gani wakati tayari gharama zimepanda kabla yake.
Kama ingekuwa mishahara ikipanda vitu vinabaki na bei ile ile bila kupanda, maana ya kupanda kwa mishahara ingekuwepo. Balaa la sasa ni kuwa asilimia ya ongezeko la gharama za usafiri inaweza kuwa kubwa kuliko ongezeko la mishahara lililoahidiwa. Hili ni rahisi wala halihitaji digrii kujua. Hivyo kama serikali iko makini isitishe gharama mpya za usafiri, ishushe kodi ya PAYE, idhibiti mfumuko wa bei katika bidhaa za mafuta, umeme na vyakula bila shaka hali itakuwa nzuri. Kumbukeni wakati mdai mishahara mipya tayari Tanesco nao wanataka kuongeza gharama za umeme. Mishahara ikiongezeka watatumia kama sababu ya kuongeza gharama kwakuwa nao itawabidi kulipa mishahara mipya.
Hivyo kwa kutazama hali ya maisha ya Tanzania itakuwa ni kosa kubwa kupandisha mishahara bila kudhiti mfumuko wa bei za vitu na kwa kuwa tayari serikali yenyewe imeshaanza kwa kuongeza gharama za usafiri, itazuia vipi wenginie kuongeza bei za huduma zao. Mkapa bado yupo hebu serikali imtumie kwasababu sisi walipa kodi ndio tunaendelea kugharimia maisha yake mpaka atakapo kufa. Fuateni sera yake ya kudhibiti mfumuko wa bei bila kuongeza mishahara.
Kitu kingine kilicho wazi ni kuwa mishahara ikipanda maana yake na thamani ya shilingi inashuka! Kwa hiyo tutakuwa na hela nyingi zisizoweza kukidhi mahitaji. Tusipokuwa makini tutakuwa kama kisiwa cha Zimbabwe kama Mulugo alivyo alivyosema
Tatizo familia za watawala wetu ni wafanya biashara za mafuta na usafirishaji wa abiria na mizigo, hiyo mishahara mipya ni "JUSTIFICATION" ya kupiga deal kwenye biashara zao. Hao wafanya kazi wapo wangapi TZ mpaka uongeze nauri na mafuta kwa kigezo cha ongezeko la mishahara?