Serikali isiache kuhusishwa na Jaribio Dhidi ya Lissu; Ijisafishe!

Matendo ya vyombo vya dola,serikali na matamko ya rais yalishamhutumu Tundu Lissu kuwa ni msaliti na kwamba msaliti lazima ashughulikiwe so ni adhabu gani na lini aadhibiwe ndio kilichokuwa kinasubiriwa.
Hapa serikali kujisafisha ni kama kujipaka mavi. Current status [HASHTAG]#Deepstate[/HASHTAG]
 
Kwanza kilichofanyika ni aibu kubwa kwa taifa ingawa siwezi kuamini moja kwa moja kwamba serikali hapa inahusika. najaribu kurefer kwenye mabandiko ya The bold na bandiko la Nifar (
Ulimwengu mzima kiganjani mwa CIA)

Tanzania kwa sasa chini ya Rais Magufuli tuko kwenye vita hatari zaidi, vita vya kiuchumi sasa kwa kutumia makala ya the bold na Nifar nimeona ni vizuri tukatafakari tukio hili kwa upana wake badala ya kuelekeza moja kwa moja lawama au kutuhumu moja kwa moja serikali kwa kutumia logic ifuatayo.

1. Utawala wa Magufuli umegusa maslahi ya wakubwa ambayo kwa miaka mingi wanachuma kupitia raslimali zetu, jambo ambalo haliwezi kuwafurahisha na kuvumilia kuona Rais Magufuli anaendelea kusalia madarakani.

2. As long as magufuli ataendelea kuwa Rais, na ushawishi alionao katika kipindi kifupi baada ya kuingia madarakani na uwezekano wa kushindwa kwenye uchaguzi ujao kwa njia ya sanduku la kura kuwa mdogo

Yawezekana wakubwa hawa wanatumia mbinu zile zile walizowahi kuzitumia kuwaondoa watawala ambao walienda kinyume nao kwa kupanga matukio ambayo yanatengeneza chuki kwa wananchi dhidi ya utawala wao na hatimaye kuweka watawala vibaraka wa nchi zao.

Kwa nini Tundu Lissu, Logic ni simple, Tundu Lissu ndiye ameonyesha kwa kiwango kikubwa kupinga utawala wa Magufuli na ndiyo pekee anaweza kutumika mtaji wa uchonganishi kati ya wananchi na utawala wa Magufuli.

Wazungu hawa wameshikwa pabaya and they can do anything hasa kutumia hizo coincidence za ugomvi kati ya LISSU na utawala kuhakikisha wanendelea kutunyonya hata kwa kutoa uhai

Ni vizuri tukawa watulivu huku tukimuombea Lissu kupona na kumuomba Mungu awaumbue/amuumbue yeyote aliyefanya tendo hilo la kinyama huku tukijizuia kunyooshea serikali kidole bila kuwa na ushahidi wa kutosha.

Pitieni kidogo hiyo thread ya Nifar pengine inaweza kusaidia kujua namna mataifa makubwa yasivyopenda viongozi wa aina ya Magufuli.
 
Mwangosi aliuliwa na Polisi.
Huyo mwingine alikuwa ni Lecturer UDSM nae aliuawa

May Allah bless Me and You
 
Toka Chacha Wangwe atolewe roho kwa kutangaza nia ya kugombea uenyekiti ,ZZK kuundiwa zengwe kwa kutangaza kugombea uenyekiti nilijua fika Tundu Lissu lazima awe hatarini kibaya zaidi wamejivika gozi la kondoo
Lissu lini alisema atagombea uenyekiti?
Acha uzwazwa ww bibo
 
Jwan Mwaikyusa ni alikuwa mhadhiri.
Mwangosi alikuwa mwandishi

May Allah bless Me and You
 
I SALUTE YOU SIR.Mzee Mwanakijiji, where have you been all this while????
 
Nikumtaimu tu kwenye korido za magogon anavyoenda kuoga na taulo kiunoni. Unazima mainswitch nakumwasha konzi moja matata kwenye para lake nakutokomea kusikojulikana huku ukiacha kilio cha hatarii "harooo mbona umeniumiza vibaya hiv?"

Mbafff!
watu mnamatatizo sana. Anyway, get well soon Tundu Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbav* anaushawishi gani zaidi yakutumia mkono wa chuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka Chacha Wangwe atolewe roho kwa kutangaza nia ya kugombea uenyekiti ,ZZK kuundiwa zengwe kwa kutangaza kugombea uenyekiti nilijua fika Tundu Lissu lazima awe hatarini kibaya zaidi wamejivika gozi la kondoo

Unawashwa na muwasho wako siyo wa Ulimwengu huu.Cockroach Wewe.
 

Na wale viongozi wa CCM Kibiti unaongeleaje mkuu
 
Wakati akigombea U Raisi wa TLS alieleza kuwa ametonywa kuna njama juu ya maisha yake.
Juzi hapa katoa mpaka namba za gari na aina ya gari iliyokuwa inamfuatia.Mwenye gari lililotajwa,Mkuu wa TISS aliyetajwa na IGP wote hakuna aliyejitokeza na kukemea au kumuita atoe habari zaidi!
Maisha yana mwisho na kinachoweza kumpa mtu amani ni kutenda HAKI!!
Usolved issues,
-Bomu mkutano wa Chadema Arusha
-Kifo cha Alphonce Mawazo
-Kupotea Bensaanane
-Maiti ndani ya mifuko.
Hapa ndio petu!!
 
Strike 1and last was upuuzi aliofanyiwa NAPE kutishwa na silaha mchana kweupe na JPM kukaa kimya.
That was the most damaging incidence of his presidency. It ledt no doubt as to what kind of president he is.
 
mtanzania.co.tz/mnyika-mchange-wavutana-sakata-la-mauaji/

hiki Chama kichunguzwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…