Serikali inayodai iombewe. Kila kiongozi - niombeeni, tuombeeni!

Magufuli alishawahi kuyakataa malori kwa vile yanaharibu barabara , sasa kama alimaanisha kweli ni wakati wa kuifufua reli .
 
Miradi yenye faida kwa vizazi vijavyo kama reli ccm hawaitaki tena. Wanataka miradi ya muda mfupi kama BRT waifainyie ufisadi na kuitumia kwenye kampeni. Hata barabara nyingi ni chini ya viwango.
 
Vita rais anayopigana si rahisi. Kuna mijitu inaloga,inaua,inafitina,inapesa nyingi,inauza unga,inamifumo ndani na nje ya ufisadi,inamifumo yakijangili,inamifumo ya kutorosha madini nk.
Mapambano haya lazima wakuu wamweke Mungu mbele na sio wao tuu na sisi tunaohujumiwa pia muhimu tuiombee nchi na viongozi wanaoipigania.
Kama mtu anaona kusali nchi itengamae ni shida basi ungana na majambazi kuwanga wasishikwe
 
Hawa watu ni waadilifu tuwaombee maana wanakutana na mambo magumu wanahitaji maombi ili wasonge mbele na utaratibu wa maombi ni wa kawaida tu wa wacha Mungu
Watu watawaombea wakiona kunauhitaji wa kufanya hivyo. Tatizo imekuwa wimbo jambo kidogo utasikia niombeen. Hivi swala la Zanzibar, watu wasiokuwa na makazi kutokana na bomoa bomoa, wagonjwa, watu wanakufa njaa dodoma.... tuache kuwaombea hao tuhangaike na viongozi wa serikali. Mwisho wa siku utamsikia Nape nae anaomba tumuombeee......! Nyambafu
 
Kazi ya kutumbua majipu si lelemama,yajitaji baraka za mungu
 
Magufuli alishawahi kuyakataa malori kwa vile yanaharibu barabara , sasa kama alimaanisha kweli ni wakati wa kuifufua reli .

Mkuu sikutaka kusema mengi, lakini kama unakumbuka vizuri wafanya biashara hawa walimdhilisha sana kutokana na Uzalendo wake wa kutetea Taifa letu, alisemwa kweli kweli kwenye vyombo vya habari na Serikali ilikaa kimya baadae kabisa Waziri mkuu akaonekana ana side wa Wafanya biashara, hata kama kulikuwa na tatizo kwa nini husimtetee kiongozi mwenzako mengine mkayamaliza kimya kimya - we sema Mzalendo Magufuli ni binadamu mvumilivu sana.

Sina shaka Dk.Magufuli akikumbuka sakata hilo, atajua kwamba ujenzi wa reli ya kati utahitaji yeye kusimamia kwa kushirikiana na Wachina, bila ya kutumia mbinu hizo reli hii haitajengwa kamwe.
 
Mimi nafasi niliyo nayo kwa sasa ni ya kuombea marehemu full stop! Hawa labda wajaribu kwa jirani!
 
Lowassa alivyoenda kanisani na kuwaomba waumini wamuombee ashinde uraisi hukuliona hilo, serikali ikiwaomba watu wake waiombee unashangaa....SMFH!!!
 
Amri kuu aliyotuachia Mungu ni UPENDO
 
Naona umesahau kiota chako cha kutagia.....
Njoo nitagie....
Lowasa kaingiaje hapo
Mkuu hao ndio viwavi wa lumumba, ukigusa mapunguvu ya uongozi wao tu unashambuliwa kama msaliti
 
Ni kama Litania ya Bikira Maria! Omba uombewe. Nimeipenda sana hiyo.
 
Lowassa alivyoenda kanisani na kuwaomba waumini wamuombee ashinde uraisi hukuliona hilo, serikali ikiwaomba watu wake waiombee unashangaa....SMFH!!!
Loawasa alienda kanisani ambako alijua kuna watu wake,sasa hii ngonjera mnayotoa kila siku mkiwa ikulu mali ya watanzania wote eti mtuombeeee?muombewe mna majini?
 
Kama wakazi wa kigamboni hamna Nauri ya Sh 500 PIGENI MBIZI,By John Pombe Magufuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…