Jasusi Uchwara
Member
- Aug 12, 2021
- 64
- 117
Kama umeelewa vizuri wanashtakiwa kwa 'kula njama' kufanya kitendo (vitendo) vya ugaidi - yaani ni kama (kama nimeelewa vizuri mashtaka yao) waliwahi kabla ya kutekeleza ugaidi wao. Hivyo, kama wakithibitika wametanda hilo kosa (au makosa ya ugaidi) adhabu yake siyo kunyongwa.1😀PP kumfutia mbowe mashitaka, nalo litamuongezea popularity kubwa na confidence ya kudai katiba.
2.Mahakama iamue kesi hii, na mbowe akishinda basi ni aibu kwa serikali.
3.Mbowe wamfunge jela miaka 30, na kwa nature ya kesi hii ya ugaidi ni miaka 30 au kunyongwa.
Serikali ya samia imejitia kitanzi yenyewe.
Na hasa ukiangalia Jaji alie pewa kesi. Huyu ni jaji mikakati. Cheo kahongwa hivyo maamuzi lazima yampendeze pilato.Kwa kupenda kwao madaraka, na kutotaka usumbufu wakati wanatawala unadhani kwanini hawatachagua namba 3?
Labda asipatikane na hatia.Swali zuri Sana kwa ccm wao wanamchagulia mbowe hukumu gani? Mbili za juu ni ngumu Ila zitawapa nafuu Ila wakimfunga au kumnyonga kitu ambacho hakiwezekani kitaibua fujo ambazo hata jw hawataziweza.