Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,068
- 1,491
Sema Kwa hii mkuu ni Kwa wote. Na sana sana Kwa Hawa wasio na elimu huwa Wanamuibia sana mchina Kwa vile hata umuhimu wa miradi wanakua hawautambuiTatizo kubwa la sisi vijana wa kitanzania ni uvivu, kazi kidogo tunataka maslahi makubwa, yaani ule uchapakazi wa kujituma hatuna tunaona kama tunamfaidisha boss
vijana wa kitanzania huwa wanawaza kupiga(kuiba tu) na sio kuendeleza taasisi ndo maana unaona taasisi akipewa mtanzania lazima ife, hatuna ile kufanya kazi kwa bidii ili nijiongezee ujuzi katika eneo languSema Kwa hii mkuu ni Kwa wote. Na sana sana Kwa Hawa wasio na elimu huwa Wanamuibia sana mchina Kwa vile hata umuhimu wa miradi wanakua hawautambui
Mkuu nyinyi mlio soma kabla ya shule za kata nyinyi ni form four leaver Kwa kulinganisha na form four ya Sasa. Kwa maana baada ya shule za kata swala la sekondari lilikua ni Kila mmoja hivyo nyinyi hamuhusiki na hii kwanza wengi wenu sio vijanaMbona mlivyofaulu darasa la saba hatukuwaombea mabaya....iweje Leo mtuombee njaa[emoji3061][emoji3061][emoji3061]
Mwandiko wangu umekaa kizee...mbona umenipunguza kwenye gen znyinyi hamuhusiki na hii kwanza wengi wenu sio vijana
Yaaani uchanganye kijiko kimoja Cha sukari kwenye ndoo ya maji na utegemee ikolee yaani hata sukari itakuwa maji. Yaaani ushindanishe msomi mmoja kwenye kata na wajinga kumi kwenye kata yaan hata msomi mjinga na anaweza hata kuhama ndio maana wasomi wanabaki kugagania mjini Wanajua jamii inavyo wahakumu huku nje eti utakuta wanasema " nae anafanya Vitu ambavyo hata wasio soma nao wanafanya"Acha ushindani uwepo
Hamna sijasema mkuuMwandiko wangu umekaa kizee...mbona umenipunguza kwenye gen z
Ila eneweyi
Sawa kiongozi...tuwasikilize wajenga hojaHamna sijasema mkuu
Sio hawa staili ila kipao mbele kinatakiwa Kwa Hawa walio soma hao wasio soma wanaweza kuserve hata mazingira ya vijijiniKwahiyo unahisi kuna WATU hawastahili kuokota ?
Hata hao wachina japo kuwa hawakagui vyeti ila wanapenda watu Wenye uwelewa wa hali ya juu yaani ambao wanaweza wakaelewa kazi Kwa mdaa mchache kuna site nilienda kuna Jamaa ana degree ya art lakini alijifunza kusoma mchoro plus kuongee kingereza vichina vikamuongeza 1000 Kwa siku na ndio nilimkuta kama msemaj wa watingaji.Ahahaha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mwajiri ndiye ana haki nambari 1 kuchagua aina ya mtumishi ampendaye.
Kama rushwa anayekula ni Mtanganyika mwenzako wala usimbebeshe mzigo Mchina.
Kosa ni la wazazi na ndugu zako wanaosema CCM ni kama baba yao.
CCM imeshindwa kutumia rasilimali lukuki .
Nchi inayoongoza kwa rasilimali ina vijana jobless, hatari sana
Japo ni kweli CCM inazinguaAhahaha [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mwajiri ndiye ana haki nambari 1 kuchagua aina ya mtumishi ampendaye.
Kama rushwa anayekula ni Mtanganyika mwenzako wala usimbebeshe mzigo Mchina.
Kosa ni la wazazi na ndugu zako wanaosema CCM ni kama baba yao.
CCM imeshindwa kutumia rasilimali lukuki .
Nchi inayoongoza kwa rasilimali ina vijana jobless, hatari sana