John Malanilo Member Joined Dec 2, 2013 Posts 50 Reaction score 13 Apr 27, 2014 #1 Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150
Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150
POMPO JF-Expert Member Joined Mar 12, 2011 Posts 6,690 Reaction score 2,402 Apr 27, 2014 #2 John Malanilo said: Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150 Click to expand... Baraza la wawakilishi ni wanafiki sana..
John Malanilo said: Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150 Click to expand... Baraza la wawakilishi ni wanafiki sana..
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,925 Reaction score 8,444 Apr 27, 2014 #3 Zanzibar+Tanganyika=Tanzania Tanzania-Zanzibar=Tanganyika Wao wana utambulisho wao sisi hatuna,halafu wanataka chetu chao,na chao si chetu,chako changu,changu si chako.
Zanzibar+Tanganyika=Tanzania Tanzania-Zanzibar=Tanganyika Wao wana utambulisho wao sisi hatuna,halafu wanataka chetu chao,na chao si chetu,chako changu,changu si chako.
Munabusule JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 976 Reaction score 491 Apr 27, 2014 #4 Nina wasiwasi siku tukitofautina hatutagundua kwa urahisi Adui ni nani.kweli wazanzibari hatari sana.bora ukondoo wa bara kulikoni hawa wajinga.
Nina wasiwasi siku tukitofautina hatutagundua kwa urahisi Adui ni nani.kweli wazanzibari hatari sana.bora ukondoo wa bara kulikoni hawa wajinga.
MrFroasty JF-Expert Member Joined Jun 23, 2009 Posts 1,195 Reaction score 596 Apr 27, 2014 #5 Munabusule said: Nina wasiwasi siku tukitofautina hatutagundua kwa urahisi Adui ni nani.kweli wazanzibari hatari sana.bora ukondoo wa bara kulikoni hawa wajinga. Click to expand... Mkuu tafadhali bana hakuna wajinga huku, utitukane watu kwa upuuzi wa siasa za CCM.
Munabusule said: Nina wasiwasi siku tukitofautina hatutagundua kwa urahisi Adui ni nani.kweli wazanzibari hatari sana.bora ukondoo wa bara kulikoni hawa wajinga. Click to expand... Mkuu tafadhali bana hakuna wajinga huku, utitukane watu kwa upuuzi wa siasa za CCM.
N nkongu ndasu JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 22,532 Reaction score 6,628 Apr 28, 2014 #6 Wazanzibar ni wanafiki wakubwa, ni vigeugeu wakubwa! Wakiwa bara wananywea, wakivuka bahari maneno meengi! Nimeamini kutawaliwa na waarabu ni shida kwelikweli.
Wazanzibar ni wanafiki wakubwa, ni vigeugeu wakubwa! Wakiwa bara wananywea, wakivuka bahari maneno meengi! Nimeamini kutawaliwa na waarabu ni shida kwelikweli.