Kwa sasa nimeachana na series zote za mbele...
Now nafuatilia ya Muheshimiwa mmoja anae fahamika kwa jina la Muheshimiwa Maajaliwa!
Ana series yake moja inaitwa "FARU JOHN" [emoji23][emoji23][emoji23] bonge moja ya series...
Ila kiukweli kwenye hii picha Muheshimiwa anapambana kila kona kudhibiti walaji haramu!
Naipenda sana hii sababu hawa walaji haramu walituambia JOHN aliumwa sana kiasi cha kupungua kilo na kudhoofika mpaka mauti ilipomkuta [emoji22] [emoji30][emoji30]
kilichonishangaza baada ya hapo, Muheshimiwa alipotaka maelezo zaidi akaletewa pembe za JOHN huku waliobeba dhamana hii wakisema tayari washamzika.
Muheshimiwa katika Season3 akataka John afukuliwe apimwe DNA coz mshikaji aliaacha watoto [emoji41][emoji848][emoji848][emoji851][emoji851].
Now tunasikia majibu kuwa mnyama kama yule akifa huwa anatolewa pembe, kama hana ugonjwa wanaachiwa wanyama kama fisi wamle [emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]
mwanzo walimjibu Muheshimiwa aliumwa sana na kupungua kilo kwa kasi mpaka kufa, now oooh tuliacha aliwe na fisi.
Muheshimiwa nakuaminia sana kwa hili najua hatochomoka mtu coz upo vizuri.
Mimi ninachokuomba kwenye season4 uniweke na mim [emoji23][emoji23][emoji23] na kabla sijasahau hii series nyimbo iwe ile ya YEMI ALADIE "WHERE Z MA JOHN" hah hah hah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mmemuuza JOHN Pembe zake Milion 200 wakati pembe yake moja tu ina thamani ya dola laki4 [emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35][emoji35]
Muheshimiwa usituangushe wapige ndani hao wote, watambue kucheza na raslimali za nchi wakati ww ujinga huo hutaki na sisi wananchi wenye uchungu na nchi hii tunakupa sapoti sana, wafunge na kutoka kwao kuwe majaliwa.
#TeamFaruJohn#TeamMajaliwa