Series (Special thread)

Sasa mm na uongo kama huo yaani mbalimbali kabisa

Hapana sio kwamba uongo jinsi plot ilivokaa lazima utatamani kujua mwisho wake ni nini...inagusa maisha ya pande zote kwa ujumla....Lost sijapata kuona tena series kama ile.
 
Hapana sio kwamba uongo jinsi plot ilivokaa lazima utatamani kujua mwisho wake ni nini...inagusa maisha ya pande zote kwa ujumla....Lost sijapata kuona tena series kama ile.

Kwangu mm ni 24 ndo sitakaa nipende series nyingine zaidi ya 24 sidhani kabisa aseeeee. Hapana chezea jack Bauer na president Palmer. Curtis O'Brien Almeda Buchanan na season iloisha ya tisa kuna vichwa pia vikali......just a single name just like Madonna hahaha
 
Bado nasubiria kurejea kwa Mandy "The Assassin." Huwa anatokea mara chache sana lakini kila anapopita lazima aache maafa makubwa!!! I like the girl hadi basi...

Halafu that girl huwezi amini kuna movies anacheza kama a helpless girl mpaka huruma,ila mule kacheza poa sana
 
hahaaaaaa yaani umenifanya nicheke mpaka basi, movie za hivyo jamani natoa fastaaa km nimeshikiwa bunduki, ctakagi hata kuzickia
 
hahaaaaaa yaani umenifanya nicheke mpaka basi, movie za hivyo jamani natoa fastaaa km nimeshikiwa bunduki, ctakagi hata kuzickia

hahahaaaa..! muvi unaangalia huku mwenyewe unatishika.! Tabu yote ya nini hiyo.
 
Tafuta name NIKITA iko fresh sana km 24 tu
 
Anna Lucia and sawyer Benjamin Linus walifanya vzr

Sawyer nilimkubal sana kwenye season 1 pale ambapo wenzie wanahangaika kutoka nje ya island baada ya ndege kuangua jamaa alikua calm sana alikua karelax ansoma zake novel benjamin linus nae alifanya vizur ila season za mwishon alipoa sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…