Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Members wa UVCCM hao...... Like fathers like children, and ur still asking why this country z poor......???
Na ni kati ya hazina zetu adimu kabisa za chama chetu pendwa.Hilo nalo jinga kabisa linatafuta Kiki...mwanume kukosa kifua ni sawa na kuwa na kansa.
Pamoja na madhaifu ya Shilole huwa anaishi maisha ya uhalisia sana na nina mkubali sana na bila shaka hakumtongoza..
naye atajiita mwanaume ?
Wewe hujawahi kutongoza mkuu?naye atajiita mwanaume ?
Duh hatarNi mwanaume mwenye kuhitaji mapendeshe wa kumtunza kama mwanamke
Nimeshawahi mkuuuWewe hujawahi kutongoza mkuu?
Ulifanikiwa kupata dushe mkuu?Nimeshawahi mkuuu
Dushe na pesaUlifanikiwa kupata dushe mkuu?