Serengeti Boy afunguka jinsi Shilole alivyomtongoza na kumtumia kisha kumtosa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Shilole amekuwa na tabia ya kutoka na viserengeti Boy na kila anayekutana naye anampost mtandaoni wakiwa mapozi tata au wakifanya utata utata,
Mmoja wa serengeti boy anadai shilole alimkomaia kumtongoza sanaa akakosa uhuru kwa kuwa alikuwa dansa wake ikibidi amkubali, lakini aliishia kupata maumivu kwani alitoswa katikati
Shilole alipohojiwa anadai hajamtongoza ila kijana huyo anajifariji
 
Hilo nalo jinga kabisa linatafuta Kiki...mwanume kukosa kifua ni sawa na kuwa na kansa.
Pamoja na madhaifu ya Shilole huwa anaishi maisha ya uhalisia sana na nina mkubali sana na bila shaka hakumtongoza..
 
walipotongozana walikua kimya sahiv ya nn kushirikisha muhadhara [HASHTAG]#watoe[/HASHTAG] ujinga hapa
 
mwanaume mzima unalalamika hicho...we humjuui shilole au....kama mlikanyagana si imeisha au ulitaka mkae na mkafunge ndoa.....we minya hata kama alikutongoza we jiongeze ulitaka awe mkeo kweli .....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom