Sera zipo,tena nzuri tu.
1.kumtua Mama ndoo kichwani,
2.Kudumisha huduma za afya,
3.Kuongeza mtandao wa barabara,reli na viwanja vya ndege,
4.kuongeza hudma ya nishati vijijini,
5.Kuongeza kupato cha mtu moja moja na Taifa kwa ujumla,na
6.Kudumisha amani na umoja wa nchi.
Sera ni nzuri tu labda ungesema huna uhakika na utekelezaji wake,ndio tungekuelewa.