Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
- Thread starter
-
- #21
ahahaaa sijawala saaaana muda mwingi nilikuwaga shule ...so sijawai kuexperience hiyo kitu besides those days nilizokuwa zote nilikuwa bado kuanza hayo mambo..mimi mambo ya malavidavi nimeanza juzi tu mwaka wa tatu college ujue.
ahahaaa namuaminia....hivi mna shida gani wanaume wa digital na manhood zenu?Anyway, tutafanyia utafiti observation yako ili tuone kama ni aspect nyingine ya kutilia mkazo idea ya kuwa na sera ya kitaifa ya maendeleo ya Senene
Si unajua Doctor MziziMkavu anapata sana wateja wengi wanaohitaji ku-boost "mnyegelisho"
In this aspect kuna wale wanaotafutaga sana ushauri kwa Doctor MziziMkavu,
Ngoja tufanyie utafiti tupate aspect nyingine ya kupromote
Daa nimetamani iwe mwisho wa mwaka kwenye mahindi
Hahaaa, mkuu umenikumbusha nikiwa mdogo...tulikuwa tunaita "kubaka" senene
Umeanza lini wizi?
Ile aidia ya kukuajiri konsaltant ufanye upembuzi yakinifu ushafanya yako hadi kuajiri mtu mpya?
Yaaaah,
Kumbe soko lipo kabisa......ukiachilia mbali la vijana wetu walioko nje ya nchi wanaosoma ambao huwa wanatuandikia email tuwatumie kwa DHL
We can export tons and tons
Heee, I am just amazed, Aunt snowhite na wewe umoo,
Karibu senene jana nimetumiwa kutoka nyumbani nawatafuna hapa wakati Koku wangu mtarajiwa anatamani nimgawie
ila nasikia wana nyege sana ndo maana wahaya wanakitembeza sana
No wonder umewagegeda sana. Surely hii biashara inalipa.
Moto: Okoa kuku na ng'ombe kula Senene..
ila nasikia wana nyege sana ndo maana wahaya wanakitembeza sana
Hahaa! Akanyasi kala kusiga amazi onya nketenja, nimbona watubanza.