yani unavyosema ni sawasawa mi uwaga nakaa najiuliza hivi Afrca tulilogwa na nani, maana kabla ujawa kiongozi mtu atamake a lot of promises sasa akishapata huo uongozi ni balaaa, atakumbuka familia yake, jamaa, ndugu, marafiki wa karibu yani ni matatizo