WhatsApp:+1(213) 394-2596
Khalis 224 nimepiga hiyo namba ya Los Angeles.Ujumbe wa Monica Umesema niache ujumbe.Inaonekana NI biashara ya ujanja ujanja
Maana Na Monica NI sauti ya mtu ambaye hausiki Na biashara yako.Kama nime kuhukumu sivyo:Turidhishe ukweli
Mkuu hawa Jamaa wanaboa sana. Mi nikitaka kununua Kitu toka kupatana naangalia namba nikiona imeanzia +254 basi naacha kwasababu najua ndio walewale.Wezi hao hata kule kupatana na facebook wapo..
Yani mm nitume hela bidhaa sijaiona naumwa akili au?