SELFIE STICK

SELFIE STICK

Edujohny

Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
5
Reaction score
4
Jiselfishe na selfie stick za ukweli....coloured n portable,jumla (6,500) rejareja(8,000)
0769844307
 
Attachments

  • 1473871344208.png
    1473871344208.png
    218.1 KB · Views: 37
  • 1473871367773.png
    1473871367773.png
    217.8 KB · Views: 37
nazi taman sana hizo kaka upo wapi? ivi zina switch ya kupigia huko chini kwa kushikia???? ushambaa huu jamani nikiipata naingia nayo hadi chooni kuji selfie
 
Hzo ni za simu yoyote ile android...ina switch ya kupigia ..
 
nazi taman sana hizo kaka upo wapi? ivi zina switch ya kupigia huko chini kwa kushikia???? ushambaa huu jamani nikiipata naingia nayo hadi chooni kuji selfie
Picha ikitoka itanuka mavi...
 
nazi taman sana hizo kaka upo wapi? ivi zina switch ya kupigia huko chini kwa kushikia???? ushambaa huu jamani nikiipata naingia nayo hadi chooni kuji selfie
Napatkana Mwanza..... but kwa mahtaj twaweza wasiliana
 
Zinawafaa watoto wa mjini sasa mie na ushamba wangu sidhani kama nitaweza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom