H huston New Member Joined Oct 10, 2016 Posts 2 Reaction score 0 Oct 10, 2016 #1 Kwa anayejua lni udom wanatoa selections za diploma make wanazingua. Sanaa
M Mbena9 Member Joined Sep 16, 2016 Posts 49 Reaction score 30 Oct 11, 2016 #2 Achatu hatujui lini labda wiki hii.
man jile Member Joined Aug 1, 2016 Posts 71 Reaction score 4 Oct 26, 2016 #3 washatoa bado wanaendelea tena kutoa
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,267 Reaction score 4,476 Oct 26, 2016 #4 man jile said: washatoa bado wanaendelea tena kutoa Click to expand... Mkuu nimeona First Batch tu hasa kwa college of health science wametoa ijumaa iliyopita vip kutakuwa na Second batch tena kwa colleges zote???
man jile said: washatoa bado wanaendelea tena kutoa Click to expand... Mkuu nimeona First Batch tu hasa kwa college of health science wametoa ijumaa iliyopita vip kutakuwa na Second batch tena kwa colleges zote???
man jile Member Joined Aug 1, 2016 Posts 71 Reaction score 4 Oct 26, 2016 #5 nilivyoooulziaaa niliambiwa bado wanaendelea kutoa maana idadi walioonesha na waliyotoa nitofauti kabisaa itakuwa wanaendelea kutoa mkuuu kama walivyonipa maaelekezo
nilivyoooulziaaa niliambiwa bado wanaendelea kutoa maana idadi walioonesha na waliyotoa nitofauti kabisaa itakuwa wanaendelea kutoa mkuuu kama walivyonipa maaelekezo