Selected MUM, BaED

club6

Senior Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
157
Reaction score
61
Tuliochaguliwa MUM, Bachelor of Arts with Education tukutane hapa ili tupeane taatifa na tujuane kabla ya kuripoti
 
morogoro Muslim University chuo cha nguruwe
Kutwa jf anachocoment
Pumba, kukatisha wengine tamaa, majungu, na zaidi sana matusi yasiyokuwa na msingi
Jifunze ustaarabu unakera
 
Kutwa jf anachocoment
Pumba, kukatisha wengine tamaa, majungu, na zaidi sana matusi yasiyokuwa na msingi
Jifunze ustaarabu unakera
Halafu kama sijakosea niliwahi kuona uzi wake humu akiomba ushauri anataka ku-apply diploma nadhan bado mchanga kielimu msameeni tu bure hajitambui huyu kijana. Elimu ndogo lakini kila kitu anajifanya anajua yeye
 
inshort hasomeki mara aombe msaada wa kusomeshwa lakini majibu anayoyatoa shombo tupu.
ni kusamehewa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…