Sio kweli, Mashine Ya Selcom Gharama Yake ni 500,000/=. Ambapo 300,000 ni bei ya mashine, laki mbili unaweka Floti, jumla inakua laki 5. Tena toleo Jipyaaa