FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
(mwisho wa kunukuu)Trump has committed an assault on our nation and our people. Pence must remove him and invoke the 25th amendment. If they fail to act, we may be prepared to move forward with impeachment. Justice will be done to those who carried out these acts of sedition and cowardice.
Umeandika vyema lakini mimi najaribu kuliangalia kwa upande wa pili, Wameamerica waliharibu sana kutumulika kuwa hatuna uhuru wa kutoa maoni, kuandamana ni haki wananchi waachwe waandamane na wakipigwa wanatushutumu kuwa tulimia nguvu sana na wanakaa vikao kutujadili lakini wao jana wamepiga watu risasi ambao hawakuwa wanatumia bundukiAna siku 13 zimebaki ili aondoke hivyo suala la impeachment halileti tija.
Wakitumia hicho kifungu cha 25 bado Trump anaweza kukipinga kwa kutumia decree hivyo tegemeo lao ni makamu wake bwana Pence ambae anatakiwa aunge mkono juhudi hizo za kumuondoa Trump jambo ambalo Pence hawezi kufanya.
Kichatotakiwa kufanywa kwa sasa ni kwa FBI na ofisi ya AG kutafuta ushahidi wa Trump kuhusika moja kwa kuandaa hizo furugu.
Kisha kuwatafuta wahusika wengine wakuu ambao waliratibu furugu hizo ambazo kiusalama ni hatari kwa vile waliingia ofisi Capitol ofisi kubwa ya demokrasia ya Wamarekani na wengine kutinga ofisini kwa bibi Nancy Pelosi.
Huwezi fahamu kama baadhi ya nyaraka muhimu za siri pia zimekuwa compromised.
Hivyo ni vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza kazi yao kwa ueledi uleule badala ya kuzembea kama walivyofanya.
Trump ametoa speech saa kadhaa zimekwisha kupita na ameweka wazi kuhusu uwepo wa mabadiliko ya uongozi panapo Januari 20.Ana siku 13 zimebaki ili aondoke hivyo suala la impeachment halileti tija.
Wakitumia hicho kifungu cha 25 bado Trump anaweza kukipinga kwa kutumia decree hivyo tegemeo lao ni makamu wake bwana Pence ambae anatakiwa aunge mkono juhudi hizo za kumuondoa Trump jambo ambalo Pence hawezi kufanya.
Kichatotakiwa kufanywa kwa sasa ni kwa FBI na ofisi ya AG kutafuta ushahidi wa Trump kuhusika moja kwa kuandaa hizo furugu.
Kisha kuwatafuta wahusika wengine wakuu ambao waliratibu furugu hizo ambazo kiusalama ni hatari kwa vile waliingia ofisi Capitol ofisi kubwa ya demokrasia ya Wamarekani na wengine kutinga ofisini kwa bibi Nancy Pelosi.
Huwezi fahamu kama baadhi ya nyaraka muhimu za siri pia zimekuwa compromised.
Hivyo ni vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza kazi yao kwa ueledi uleule badala ya kuzembea kama walivyofanya.
Uhuru wa kutoa maoni, maandamano na mikusanyiko [ya amani] ni haki ya kidemokrasia katika tawala za kidemokrasia.Wameamerica waliharibu sana kutumulika kuwa hatuna uhuru wa kutoa maoni, kuandamana ni haki wananchi waachwe waandamane na wakipigwa wanatushutumu kuwa tulimia nguvu sana na wanakaa vikao kutujadili lakini wao jana wamepiga watu risasi ambao hawakuwa wanatumia bunduki
Ila mhalifu siku zote huwa hana amani.Umeandika vyema lakini mimi najaribu kuliangalia kwa upande wa pili, Wameamerica waliharibu sana kutumulika kuwa hatuna uhuru wa kutoa maoni, kuandamana ni haki wananchi waachwe waandamane na wakipigwa wanatushutumu kuwa tulimia nguvu sana na wanakaa vikao kutujadili lakini wao jana wamepiga watu risasi ambao hawakuwa wanatumia bunduki
Kwa maana hiyo jukumu sasa linabaki kwa congress ku-impeach na ikiwezekana kumuondoa madarakani Rais Donald Trump. Leo kura zinapigwa na house na hoja ikipita, itabidi Senate itoe hukumu. Hakuna aliye juu ya Katiba Marekani.UPDATE: Pence says he will not invoke the 25th Amendment
Vice President Mike Pence said he will not invoke the 25th Amendment to remove Trump from office, according to a letter sent to House Speaker Nancy Pelosi. A vote for impeachment is expected to take place on Wednesday morning.
Zoezi la kura ya kutokuwa na imani na rais kwa upande wa Baraza la Wawakilishi limekamilika.Kwa maana hiyo jukumu sasa linabaki kwa congress ku-impeach na ikiwezekana kumuondoa madarakani Rais Donald Trump. Leo kura zinapigwa na house na hoja ikipita, itabidi Senate itoe hukumu. Hakuna aliye juu ya Katiba Marekani.