M Mbangubangu Senior Member Joined May 6, 2013 Posts 188 Reaction score 70 Dec 11, 2013 #1 Kwa wenyeji wa mkoa wa Kigoma, ni maeneo gani ya kula bata pande hizo hasa kwa siku kama jumatano na ijumaa?
Kwa wenyeji wa mkoa wa Kigoma, ni maeneo gani ya kula bata pande hizo hasa kwa siku kama jumatano na ijumaa?
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,681 Dec 11, 2013 #2 Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!! Rudini Dar tu kama safari imechina...
Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!! Rudini Dar tu kama safari imechina...
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,400 Dec 11, 2013 #3 ZeMarcopolo said: Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!! Rudini Dar tu kama safari imechina... Click to expand... Hahahahaha we Kopolo wewe
ZeMarcopolo said: Vijana wa Bavicha baada ya mikutano ya Slaa kudoda mnaamua kujirusha viwanja tu!!! Rudini Dar tu kama safari imechina... Click to expand... Hahahahaha we Kopolo wewe
E edward snowdern Senior Member Joined Nov 30, 2013 Posts 138 Reaction score 55 Dec 11, 2013 #4 ijamaatano au ijumaa ndio siku ambazo mikutano ya slaa haipogo.nenda bagwe beach au manguruweni ule kitimoto
ijamaatano au ijumaa ndio siku ambazo mikutano ya slaa haipogo.nenda bagwe beach au manguruweni ule kitimoto
M Mbangubangu Senior Member Joined May 6, 2013 Posts 188 Reaction score 70 Dec 11, 2013 Thread starter #5 Mambo ya vyama sipo wakuu.tunaangalia fursa.Tanzania kubwa.Daah kitimoto hapana kamanda labda migebuka.
Mambo ya vyama sipo wakuu.tunaangalia fursa.Tanzania kubwa.Daah kitimoto hapana kamanda labda migebuka.