D darmmy Member Joined Sep 4, 2013 Posts 16 Reaction score 1 Nov 11, 2013 #1 Ndugu wana jf nimesomea accounting naomba nisaidieni sehemu ambazo hawajatangaza kazi lakin naweza peleka barua za maombi ya kazi
Ndugu wana jf nimesomea accounting naomba nisaidieni sehemu ambazo hawajatangaza kazi lakin naweza peleka barua za maombi ya kazi
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,810 Reaction score 33,468 Nov 11, 2013 #2 Sehemu zipo nyingi,kama Mabenki, NGO's,Viwandani na hata Agency za serekali ambazo hazipiti utumishi wa umma!.inategeme ww mwnyw unapenda ufanye kazi ktk sector gn ??
Sehemu zipo nyingi,kama Mabenki, NGO's,Viwandani na hata Agency za serekali ambazo hazipiti utumishi wa umma!.inategeme ww mwnyw unapenda ufanye kazi ktk sector gn ??