Jeri carwash
Member
- Mar 29, 2018
- 17
- 38
Gharama ya kufanya services ni sh ngapi??
Na gharama ya kucheki gari husika ka lina tatizo ni sh ngapi..ni bora tujue mapema labla hatujafunga safari nzima ya kuja hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama ya kufanya services ni sh ngapi??
Na gharama ya kucheki gari husika ka lina tatizo ni sh ngapi..ni bora tujue mapema labla hatujafunga safari nzima ya kuja hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
chief unaweza kutoa gharama ya kumtibu mgonjwa bila kuonana nae,kuna tofauti kati ya huduma na bidhaa service ni huduma...nikikupa bei bila kujua tatizo ni aidha ntakuibia ama utaniibia.Ogopa sana unapofichwa bei halisi ya service yoyote ile, Kawaida ya biashara ni kuanika kila kitu wazi then ukipendezewa ndipo mnaanza kujadiliana namna gani mpunguziane kwa mfano..tairi moja ni Tsh 100 pamoja na EFD risiti na bila basi unaomba akupozee iwe Tsh 90, sasa hii ya kukutaka ufike gereji kwanza ndipo muongee imekaa kiswahili sana
Samahani mkuu naomba kujua mm nahitaj kununua gar na ndo ya kwanza na kipato chang n cha kati unanishauri nianze kununua gari aina gan na kwasababu zipUbora wa gari lako unategemea na ushauri pamoja na maelekezo ya utunzaji wake,gari nyingi zinaharibika mapema kutokana na ushauri mbovu na kutozingatalia alama na dalili za viashiria.
Karibu Jeri Car Wash & Service leo,tuifanyie ukaguzi gari yako,tuitolee ripoti na ushauri na iwapo kuna tatizo tukutengenezee na kukushauri aina za vilainishi ama service nzuri ya gari lako.
Tunapatikana Barabara ya Shekilango,Pembeni ya Bar ya Hongera na Karibu na Chuo cha Ustawi.Sinza Dar es salaam.
huduma zetu ni bora kabisa na haraka pia tuna sehemu ya kupumzikia unaposubiri gari lako
Mawasiliano - 0757 999904
View attachment 993774
Mkuu kwani service inahusisha tatizo moja.. ? Kiasi cha kuweka bei.. mfano kuangalia break ni 25,000/- . Je tatizo likiwa umeme?Ogopa sana unapofichwa bei halisi ya service yoyote ile, Kawaida ya biashara ni kuanika kila kitu wazi then ukipendezewa ndipo mnaanza kujadiliana namna gani mpunguziane kwa mfano..tairi moja ni Tsh 100 pamoja na EFD risiti na bila basi unaomba akupozee iwe Tsh 90, sasa hii ya kukutaka ufike gereji kwanza ndipo muongee imekaa kiswahili sana
asanteMkuu kwani service inahusisha tatizo moja.. ? Kiasi cha kuweka bei.. mfano kuangalia break ni 25,000/- . Je tatizo likiwa umeme?
Mambo mengine ni kujiongeza unafika ofisini kwake kama ni utapeli unaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kukushauri unatakiwa kujua kwanza mwenyewe unahitaji kitu gani na kwa sababu gani ukishapata njoo nitakupa tabia na sababu ya kununua kwa eneo lako na matumizi yako.Asante.Samahani mkuu naomba kujua mm nahitaj kununua gar na ndo ya kwanza na kipato chang n cha kati unanishauri nianze kununua gari aina gan na kwasababu zip
Sent using Jamii Forums mobile app
Asanteee mkuusiwezi kukushauri unatakiwa kujua kwanza mwenyewe unahitaji kitu gani na kwa sababu gani ukishapata njoo nitakupa tabia na sababu ya kununua kwa eneo lako na matumizi yako.Asante.