Ok mkuu. Vilevile nahisi kama nahitaji kuwa na bastola. Jirani yangu majuzi alinusurika kuvamiwa na majambazi. Bahati nzuri aliwaona mapema wakiwa wanabebana kuruka ukuta na yeye ana bastola wakajibisha kidogo kwa risasi kisha wakatoweka. Je unaufahamu utarabu wa kupata hii kitu (bastola)?