Secular party set to win Tunisia elections

joka57

Senior Member
Joined
Aug 29, 2014
Posts
138
Reaction score
49
Kupitia taarifa ya habari star tv saa 2 usiku huu kwenye habari za kimataifa ni kwamba chama kikuu cha upinzani nchi tunisia kimekiangusha chama tawala ambacho kilikuwa kimekithili kwa rushwa na ufisadi,ukosefu wa ajira.
My take
Tanzania tukae mguu sawa maana mambo yanayoangusha serikali nyingi duniani yote yanapatikana Tanzania


Source:
Heraldstandard

http://www.heraldstandard.com/news/world/middle-east/tunisia-awaits-results-as-secular-party-claims-win/article_e8ecca2f-8df9-5802-819a-58acee6ddea9.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…