Second selection is loading

Watatoa tu,no hurry in Africa b'coz we have got a factor of time!!!
 
Tatizo la watu wa tz mnakiroro sana yani ndo kwanza memaliza kuomba ijumaa leo mtake majibu acheni wafanye kazi zao kwanza
 
Tatizo la watu wa tz mnakiroro sana yani ndo kwanza memaliza kuomba ijumaa leo mtake majibu acheni wafanye kazi zao kwanza
First round tu haijatoka toka mwezi wa tisa 12 hadi leo baadhi ya vyuo hata sita haizidi kwa idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…