United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
Hahaaaa sjajua kama mzigo utaendelea kusimama Kam ataponaDuh kansa ya korodani, ila chamsingi mashine isimame awe anabandua na apone kabisa
Kabadilika sana. Nimeona picha zake TwitterDuh hii habari nimekutanayo some where
Yule mchezaji wa ivory coast aliyekipiga ajax msimu uliopita hadi akakaribia kuchukua kiatu Cha mfungaji Bora wa champions league Sebastian haller yupo kitandani akisumbuliwa na saratani ya korodani
Jamaa kama ajax asingetoka mapema msimu uliopita Kweny UEFA basi alikua na uwezekano mkubwa wa kubeba kiatu Cha dhahabu
Baada ya kukiwasha sana kweny UEFA msimu uliopita na ajax Dortmund wakamsajili kwaajili ya msimu wa 2022/23 lakin Kwa bahat mbaya baada ya mda kidogo kupita kagundulika ana cancer ya korodani hadi xaxa jamaa yupo kitandani
Wale Wapenzi wa mpira tumuombe aweze kurejea kweny soka issue kama hii iliwah mtokea mchezaji wa zamani wa new castle united Jonas Gutierrez ila jamaa alipigawaniwa hadi akarejea uwanjani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
View attachment 2337413
Hizo ni side effects za Chemotherapy. Zikimalizika anarecover fresh tuKabadilika sana. Nimeona picha zake Twitter
Nazan uwezekano wa kurudi uwanjani ni mkubwaAlishafanyiwa operation akaanzishiwa chemotherapy madaktari wake wanasema atapata nafuu na uwezekano wa kurudi uwanjani upo.
Usijali yupo ulaya vilabu kule vinajua majuku yao ...ingekuwa africa ndio anaachwa ateseke mwenyewe.Duh hii habari nimekutanayo some where
Yule mchezaji wa ivory coast aliyekipiga ajax msimu uliopita hadi akakaribia kuchukua kiatu Cha mfungaji Bora wa champions league Sebastian haller yupo kitandani akisumbuliwa na saratani ya korodani
Jamaa kama ajax asingetoka mapema msimu uliopita Kweny UEFA basi alikua na uwezekano mkubwa wa kubeba kiatu Cha dhahabu
Baada ya kukiwasha sana kweny UEFA msimu uliopita na ajax Dortmund wakamsajili kwaajili ya msimu wa 2022/23 lakin Kwa bahat mbaya baada ya mda kidogo kupita kagundulika ana cancer ya korodani hadi xaxa jamaa yupo kitandani
Wale Wapenzi wa mpira tumuombe aweze kurejea kweny soka issue kama hii iliwah mtokea mchezaji wa zamani wa new castle united Jonas Gutierrez ila jamaa alipigawaniwa hadi akarejea uwanjani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
View attachment 2337413
Ulaya ulaya tuuAlishafanyiwa operation akaanzishiwa chemotherapy madaktari wake wanasema atapata nafuu na uwezekano wa kurudi uwanjani upo.
Hio picha ya pili sio yeyeDuh hii habari nimekutanayo some where
Yule mchezaji wa ivory coast aliyekipiga ajax msimu uliopita hadi akakaribia kuchukua kiatu Cha mfungaji Bora wa champions league Sebastian haller yupo kitandani akisumbuliwa na saratani ya korodani
Jamaa kama ajax asingetoka mapema msimu uliopita Kweny UEFA basi alikua na uwezekano mkubwa wa kubeba kiatu Cha dhahabu
Baada ya kukiwasha sana kweny UEFA msimu uliopita na ajax Dortmund wakamsajili kwaajili ya msimu wa 2022/23 lakin Kwa bahat mbaya baada ya mda kidogo kupita kagundulika ana cancer ya korodani hadi xaxa jamaa yupo kitandani
Wale Wapenzi wa mpira tumuombe aweze kurejea kweny soka issue kama hii iliwah mtokea mchezaji wa zamani wa new castle united Jonas Gutierrez ila jamaa alipigawaniwa hadi akarejea uwanjani
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
View attachment 2337413
Uwanjani siyo shida hata asiporudi tatizo je mzee atakuwa ananguruma kweli?Nazan uwezekano wa kurudi uwanjani ni mkubwa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Wew nani kakwambia ukitumia neno xaxa na ukitumia Sasa neno moja .sahihi na neno jingine halipo sahihi kasome kwanza English mophology pitia kipengele Cha word formation process ,ukitoka apo pitia types of meaning ili ujione ulivo mpumbavu afu ukiona ujaelewa pia pitia kipengele Cha semantics utaelewa kidogo mambo ya kupangia maneno ya kutumia wapangie watu ambao hawajasoma linguist mbuzi weTaarifa yako nzuri imeharibiwa kwa kuandika xaxa badala ya sasa badilika mkuu hzo sio pigo za jukwaa hili labda uandike mmu hizo pigo doesn't make sense next time try to fix it ni hayo tu.
Inaonekana huna mda mrefu umemaliza form four maana ndo wanaandika hvyo mi nimekukumbusha tu ila kama unaona sawa endelea mkuu na uandishi wakoWew nani kakwambia ukitumia neno xaxa na ukitumia Sasa neno moja .sahihi na neno jingine halipo sahihi kasome kwanza English mophology pitia kipengele Cha word formation process ,ukitoka apo pitia types of meaning ili ujione ulivo mpumbavu afu ukiona ujaelewa pia pitia kipengele Cha semantics utaelewa kidogo mambo ya kupangia maneno ya kutumia wapangie watu ambao hawajasoma linguist mbuzi we
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kwanza angeambiwa ngiri inamsumbua angekuwa ana kula mikongoraa tu 😀Usijali yupo ulaya vilabu kule vinajua majuku yao ...ingekuwa africa ndio anaachwa ateseke mwenyewe.
Na walishaenda kwa waganga mia ishirini kidogo.Kwanza angeambiwa ngiri inamsumbua angekuwa ana kula mikongoraa tu 😀
nkfka chuo Kam wew nitaacha kutumia neno xaxaInaonekana huna mda mrefu umemaliza form four maana ndo wanaandika hvyo mi nimekukumbusha tu ila kama unaona sawa endelea mkuu na uandishi wako
Kubali ushauri wake yaishe,nkfka chuo Kam wew nitaacha kutumia neno xaxa