T THE BROKER JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 767 Reaction score 956 Jun 13, 2017 #1 Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mustari kwenye screen yake kama inavyoonekana. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie Picha inagoma kuapload wakuu.
Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mustari kwenye screen yake kama inavyoonekana. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie Picha inagoma kuapload wakuu.
Lipijema JF-Expert Member Joined Mar 8, 2015 Posts 953 Reaction score 1,540 Jun 13, 2017 #2 Mbona haionekani!?
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,090 Reaction score 16,270 Jun 13, 2017 #3 Hujaweka hiyo picha