Samahan mkuu, yani Hiyo ps3 ilkua nfanya kazi vizuri lakin madogo zangu nyumbani walikandamiza cd hiyo hiyo nfs ndani bila kujua kwamba inavuta cd automatically...Nafkiri walivunja motor yake yakuvuta cd....ila mara nyingi nachomeka cd hivyo hivyo kwa kulazimisha afu na cheza tu vizuri.....kuchomoa cd ndo Big problem...Ndo mna naiuza so cheap.