Companero huo mwaka wa kombe la dunia umesema 2012 au 2002?!
ha ha ha ha!! hujaona jamaa kaniwekea like!!ukiona hivyo kisha edit!!Yakhe kunywa pombe zooote lakini sio Banana...
Unaona sasa madhara yake?
"Mwili wangu unashindwa kufanya vile akili yangu inavyonituma kufanya" by Ronaldo Dilima.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
ha ha ha ha!! hujaona jamaa kaniwekea like!!ukiona hivyo kisha edit!!
"Mwili wangu unashindwa kufanya vile akili yangu inavyonituma kufanya" by Ronaldo Dilima.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Gang Chomba hoi kashindwa kuendeleza porojo zake za kumsifia Ronaldinho,sijui safari hii malaika wameasi au wameamua kujiandaa kumuangalia lionel Messi next week akiwafurumusha AC Milano!!