Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,190
- 30,703
Binadamu na dunia havina mwanzo.Okay kwahiyo mtu wa kwanza aliyeanzisha kizazi chenu Hadi na wewe ukazaliwa alizuka hapa Duniani
Watu wanazaliwa hawazuki.Kwani Hadi Sasa hawaendelei kuzuka watu wengine?
Watu huzaliwa, hawazuki.Nini kinachozuia wasiendelee kuzuka watu wengine Ili waendelee kuzaa vilaza kama wewe?
This kind of fallacy is called ad hominem.Chumvi ikiharibika itiwe nini ili ikolee?
Akili ya huyu kijana imeoza ingali hai lakini haina matumaini ya kupona
Kwanza huyo Shetani Hayupo.Nikikutana na mawazo kama yako [emoji23][emoji23] huwa nawaza nafika mbali sana. Nafikiri kuna vibaraka wa shetani moja kwa moja wanao pinga uwepo wa Mungu na na Malaika wa shetani wanao ishi na sisi kwa sura za kibinadamu.
Daaah!! Am sorry lakini mawazo yangu tu
Si unaona unavyojikanyaga maana yake ni kwamba wewe haujui ulipotokea Sasa mtu ambaye hata haujui ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa DunianiBinadamu na dunia havina mwanzo.
Watu wanazaliwa hawazuki.
Hata mtu wa kwanza katika kizazi chetu, Hakuzuka.
Alizaliwa kutoka kwenye kizazi chake.
Watu walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo milele.
Dunia na vyote vilivyomo except man-made things, Vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo milele.
Havijaumbwa na yeyote wala kuzuka kutoka popote.
Watu huzaliwa, hawazuki.
Una elewa hilo wewe kichwa maji?
Utajua hujui.Mungu Yupo wapi?
Au yupo uko kichwani mwako?
Niko hapa duniani kwa sababu nilizaliwa kutoa kwa wazazi wangu. Baba na Mama yangu.Si unaona unavyojikanyaga maana yake ni kwamba wewe haujui ulipotokea Sasa mtu ambaye hata haujui ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa Duniani
Wewe si unajua Mungu yupo?Alafu unataka watu wakubali Maneno yako kuwa hakuna Mungu kweli?
Alitoka kwa wazazi wake.Acha kujizungusha jibu swali
Mtu wa kwanza katika kizazi chenu alitokea wapi?
Alitoka kwa wazazi wake.Imesema binadamu hawazuki ila wanazaliwa ndio hapo nataka kujua huyo mtu kwanza aliyezaa kizazi chenu yeye alitokea wapi?
Kutokujua haimaanishi kwamba ndio kuna Mungu.Utajua hujui.
Pambana na kile unachokiamini.Kutokujua haimaanishi kwamba ndio kuna Mungu.
Maana hata huyo Mungu unayejidai kumjua yupo, wala hujui yupoje. Na wala huwezi kuthibitisha uwepo wake.
Hata wewe hujui, na hujui kwamba hujui. Unatetea tu kusema Mungu yupo, Kwa vile uliaminishwa na kukaririshwa yupo.
Unafuata tu mkumbo mkichwa mkichwa, Mungu yupo! Mungu yupo! Mungu yupo!
ila hata huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo.
Unajiendea tu, msobemsobe.
Kuamini ni kutokuwa na uhakika, ushahidi na uthibitisho.Pambana na kile unachokiamini.
Samahani mkuu, unataka kusema Mungu ni atom?Salaam wakuu,
Science inasema, kila kitu kimeundwa na atom, bt maandiko yanasema, kila kitu kimeundwa Mungu.
Science inasema atom imeundwa na sehem 3(proton, neuron & electron bt maandiko yanasema Mungu anaundwa na sehem 3(Mungu baba, mwana & roho mtakatifu).
Kwa mtiririko huo, nahitimisha kwa kusema, science inasupport uwepo wa Mungu kwa 100%.
Nilijua tu kuwa hauna uwezo wa kijibu hili swaliNiko hapa duniani kwa sababu nilizaliwa kutoa kwa wazazi wangu. Baba na Mama yangu.
Nilizaliwa kutoka kwa wazazi wangu.
Wewe si unajua Mungu yupo?
Sasa mbona unashindwa kumthibitisha?
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu unayejua yupo.
Alitoka kwa wazazi wake.
Alitoka kwa wazazi wake.
Je Universe haiwezi kufanya vitu vyote hivi pasipo huyo muumba?Wengine wanaita Mungu, Wengine Chanzo, Binafsi napenda kutumia "Muumba" ...
Binafsi siziamini dini ila naamini kuna supernatural power , hyo power ndiyo inasababisha Mtoto anaundwa mwilini, Miti inakua, Dunia inaelea, Masaa hayapishani usiku na mchana, Jua kuwaka bila kuchoka, Mechanism ya Mvua...
Kama hakuna anayeweza kujibu maswali yanayomhusu Muumba, Uliwezaje kujua yupo?Muumba yupo lakini hakuna anaeweza kujibu maswali yanayomhusu wala hakuna Limitation zozote alizotuwekea kwakua hakuna mtu alikuwepo wakati ana Create...
Kuhusu maombi - ni kitu chochote ambacho unajiambia.. ukiwa unajiambia mara nyingi Mimi ni Tajiri, Nina afya, ninajiamini and other positive things - unapata matokeo hayohayo
Mfano kina 2pac na Biggie walikua wanaimba kwamba wao ni wababe, wanapenda ngono, wanavuta bangi hata vifo vyao vilihusiana na matukio ya mtindo huu huu...
Watu wa dini wanaposali wana manifest things like "Mimi ni Mdhaifu/Sisi ni Wadhaifu ama Pekee yangu siwezi/ pekee yetu hatuwezi" - Yaani aliyekuumba amekupa Akili na Potentials for Growth leo unamwambia huwezi...
Angalia maisha ya watu wanaosali namna hii yako vipi, Mtu ni matokeo ya kile ambacho unafikiri , ukifikiri wewe ni weak utakua weak, Ukifikiri wewe ni Strong utakua strong...
Tuishi kulingana na kanuni nzuri za kiadili zinazopatana na jamii za watu wote, Kanuni ambazo zitatupelekea kupata Mafanikio katika nyanja zote...
The World wasn't build for weak people
Hata wewe huna uwezo wa kujibu na kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayesema yupo.Nilijua tu kuwa hauna uwezo wa kijibu hili swali
Unatumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence kutaka kufosi uwepo wa huyo Mungu wako mliyemtunga vichwani mwenu!!!Na siku ukipata akili ya kujibu hili swali ndio utajua kuwa Mungu yupo
Na wewe tafuta hao wajinga wenzako wa kiimani na kidini muendelee kuaminishana imani zenu uchwara za Mungu mdhaifu na mchovu ambaye hawezi kujidhihirisha mwenyewe na kujitetea mwenyewe kwamba yupo.Ni Bora tu utafute hao vlaza wenzanko muendelee kudanganyana
Huu ulimwengu uko operated kwa Energy... kataa!!Je Universe haiwezi kufanya vitu vyote hivi pasipo huyo muumba?
Je huyo muumba ali exist mwenyewe tu, from nothing?
Hii supernatural power ilitoka wapi?
Kwa nini unadhani na kuamini kuna muumba anae sababisha processes zote hizi?
Kwa nini Hudhani processes zote hizi zina operate zenyewe tu pasipo muumba?
Kama umeweza kuamini hiyo supernatural power ina operate yenyewe tu, Unashindwaje kujua pia ulimwengu na vyote vilivyomo vina operate vyenyewe?
Kama haiwezekani kwa ulimwengu ku operate wenyewe tu, iliwezekana vipi kwa hiyo supernatural power?
Kama hakuna anayeweza kujibu maswali yanayomhusu Muumba, Uliwezaje kujua yupo?
Lakini hiyohiyo Energy tayari ipo kwenye ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake.Ulimwengu hauwezi kujioperate wenyewe bila Energy, na Energy Inayooperate huu ulimwengu ni hiyo hiyo Natural power au Divine creator...
Unathibitisha vipi ni kazi zake?Kuhusu kutambua kwamba kuna aliye create hii universe ni kupitia kazi zake ambazo mtu mtu mwenye uwezo wa kawaida hawezi fanya....
Dunia na uhani havina chanzo.Kulingana na uelewa wako, chanzo cha dunia na uhai ni nini?
Ndiyo maisha uliyoyachagua.Kuamini ni kutokuwa na uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Mimi siamini kwenye kuamini.
Sina imani ya aina yeyote ile.
Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na creator, Hata creator wa kila kitu lazima awe na creator wake mwingine.Huu ulimwengu uko operated kwa Energy, Iko process iliyocreate hiyo Energy mpaka ikatokea ...
Sasa akilicho process hii Energy kinafaa kabisa kuitwa Creator ama Muumba sababu ndio cause ya hii Universe tunayoiona....
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu lazima kiwe na chanzo chake kingine.Wanasayansi ukiwauliza Energy chanzo chake ni nini? hua wanaruka hapa watakwambia "Energy can neither be created no destroyed but it can change in different form"
Naomba nitoe ujinga mkuu, labda kwa uelewa waki Energy ambayo inauoperate huu ulimwengu chanzo chake ni nini ?
Na ndio uhalisia ulivyo.Ndiyo maisha uliyoyachagua.
Ni mtizamo wako.Na ndio uhalisia ulivyo.