Scholership

Scholership

thejosec

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2010
Posts
345
Reaction score
24
Scholarships to study in china, for bachelors, masters and phd are available .
All majors form arts majors, business to science majors.
For more info contact
Thejosec@qq.com or +8613761325614
 
Vigezo na masharti ni vipi mzee baba?
Au ndiyo kutushkisha adabu kiakili!
 
Acha kuibia watu deadline za scholarships zishapita huko China... toka 31 March. Alafu ni Scholarship na sio Scholership.

Na kwanini mnapenda kuibia watu wakati mtu anaweza akaomba mwenyewe directly na akapata?
 
Nan kasema anaibiwa? Au wapi umesikia watu wanaibiwa?
Zimepita za chinese government scholarships ila china kina aina nyingi sana za fadhili. Tujifunze kuuliza na kijibiwa kuliko kila kitu ni kuponda na kuhisi ni kuna ulaghai.
 
Unakuja kuendelea au ndio mwisho wa thread?
kama ungemjibu mhandisi mzalendo hatua ya kuitwa mwizi isingefika.
 
Nan kasema anaibiwa? Au wapi umesikia watu wanaibiwa?
Zimepita za chinese government scholarships ila china kina aina nyingi sana za fadhili. Tujifunze kuuliza na kijibiwa kuliko kila kitu ni kuponda na kuhisi ni kuna ulaghai.
Kama siyo kuibia watu kwa nini wawasiliane na wewe badala ya kuweka link?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom