Scholarship of Mozambique

atatumiwa email tu yenye maelekezo yote provided ana active email address, ataelekezwa kwenda wizaran lin na kutafuta passport, chuo kinaitwa eduardo mondlane ni chuo kikubwa tu unaweza google

Thanxxx so much...
 
atatumiwa email tu yenye maelekezo yote provided ana active email address, ataelekezwa kwenda wizaran lin na kutafuta passport, chuo kinaitwa eduardo mondlane ni chuo kikubwa tu unaweza google

Vp uncle na wewe ulikuwa kule. ? Coz unajua taratibu zote.
 
K vipi na pesa gvt aizingui? na ni kiasi gan wanatoa kwa mwaka? n nivip life la uko kwa ujumla
 
Vp uncle na wewe ulikuwa kule. ? Coz unajua taratibu zote.

hapana kuna jamaa ang alipata huko mwaka jana nilifaham kupitia kwake manake hata mimi nilikuwa nazitaka, vp we umemaliza au uliacha?
 
hapana kuna jamaa ang alipata huko mwaka jana nilifaham kupitia kwake manake hata mimi nilikuwa nazitaka, vp we umemaliza au uliacha?

Nmepangwa mwaka huu. Kuna jamaa zangu wapo kule . kitambo nimekuwa nikifuatilia .maana kule elimu simple sio kama Tanzania .
 
Pls just write in Swahili. "Scholarship of Mozambique"... Halafu mnataka tuungane East Africa iwe nchi moja, mbona wadogo zetu watakuwa mahouse boy/girl wa majirani zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…