kama mi na wewe twaweza kuwa na wake zetu wanafanya kazi huko...halafu kuna majamaa yanawamendea...kama wasipokula basi unadhani hata kunawa watashindwa????? wapi mkuu watashikwa makalio na vingine hata kama hawapendi..na hawatoshitaki popote..nani atawaamini hata wakishtaki...
kuna yule mama wa kizanzibari Laila Rashid nadhani alikuwa TAMWA kabla ya huyu mama Ananilea Nkya..aliwahi kumshtaki bosi wa TACAIDS jenerali mmoja mstaafu...sijui hata ile kesi iliishia wapi....
ndiyo mambo ya kisasa hayo...ndiyo sababu wazee wetu enzi hizo walitengeneza mfumo dume ambapo wanaume ndiyo walitoka kufanya kazi na wake zao kukaa majumbani kuhudumia familia...
siku hizi familia zinahudumiwa na mafulbeki na baba ana kimada ofisini kwake na mama ana kibuzi ofisini kwake....wakirudi kila mtu kachoka baada ya shughuli za mchana kutwa na ile ya lunch break!!!!!!!!!!
Na waoaji tuna kazi,midege mingine hailiki we unajifanya kuirukia kama ukiwa na wivu kama wa njiwa ipo siku utajikuta unabembea kwenye kamba bila kulazimishwa na mtu.
Sawa wanweza chukulia kama proffesional, je inakuaje wengi wanakutana kwnye movie halafu wanadate au kuoana bada ya hapo?(angalia idadi ya actors walio oana baada ya movies) nadhani nao ni benadamu kuna tabia za kila aina ndani ya Hollywood haswa ukisingatia wengi wahawa ma stars ndio alikau na maisha magumu ya ku struggle waku follow their dreams , wengi wamelal kwnye magari yao wengi wali kuwa wana waiting tables wengi walisha kua gigolos ,hookers na escorts ,mfano Charliez Therone ali lipiwa one way tikect kwenda holywood hukua kiwa ame lost kipesa sasa je ,binadamu kama wana anapo kua kwney scene za mapenzi je hawawezi tamaniana na kupeana number kisiri?