Scariest horror movies

Stigmata,drag me to hell,final destination,the others,tesis,insidious na parnormal activities.
Ukimaliza hizi unicheki
OTIS
 
Thanx Mwali,mim napenda zaidi graphics ndo iwe inatisha ila nitaiangalia hii maana umesema inatisha.

Good Guy hapo pekundu umenifanya niwe na hamu zaidi ya kuziona hizo movie,nitaanza nazo week end ijayo.

Nzi basi sitaziangalia zote kwa pamoja nisije nikapata BP ya kujitkia,ila jinsi mnavyozisifia ndo kuwa zinatisha kiherehere za kuziangalia kinavyozidi.asante sana.
Scream 1,2,3,4

asante Lussadam.
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru wote kwa kunipatia lists ya hizi movie.Nilikua nataka kuangalia jumapili iliyopita lakini mmenitajia nyingi yaani hadi nimechanganyikiwa sijui hata nianze na ipi,ila nitahakikisha nazitizama zote mlizonitajia ambazo bado sijawahi kuziona.Nahisi week end ijayo nitajifungia zangu home nikicheck tu movie.Asanteni saana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…