Scan Your Computer for viruses!

kwereeee, ha ha ha naona anascan mashine
 
Young Master umeanza bangi zako, afu uwe unapokea simu, nilikuwa na emergency afu umenipotezea
 
Last edited by a moderator:
Young Master umeanza bangi zako, afu uwe unapokea simu, nilikuwa na emergency afu umenipotezea

Ha ha haaa!! Hamna mkuu hiyo ni sembe arif. Sorry mkuu unajua wakati unanicall nilikuwa nina pray so nikashindwa kupokea lakini bahati mbaya nikasahau kukutafuta tena. Tusameheane mkuu...uzee huu unaniendea vibaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…