Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,158
Wewe na bagonza wako wote ni wapumbavu.Umenikumbusha kauli ya Baba Askofu Bagonza, “Tulipokuwa tuna Chuo Kikuu kimoja UDSM hatukuwa na wajinga wengi lakini sasa tuna vyuo vikuu vingi idadi ya wajinga nchini imeongezeka sana.”
Wewe una Mungu zaidi ya yule wa Waisrael taifa teule...!!! Vaa Barakoa, nawa mikono usiwe chanzo cha kifo cha ndugu & rafiki zakoWaisrael wamekufa 5526.
tangu mwaka Jana .
He Tanzania wanafika waliokufa na Corona hyo idadi?.
KWA MUNGU TUNATEGEMEA.na tutashinda.
Mganga MUNGU tu
Wewe una Mungu zaidi ya yule wa Waisrael taifa teule...!!! Vaa Barakoa, nawa mikono usiwe chanzo cha kifo cha ndugu & rafiki zako
Tatizo lako ni uelewa tu basiKwa wenzetu Wakristo dunia nzimà, Mungu ni wa Waisrael aliowateua yeye mwenyewe hata Mwanae Mpendwa alizaliwa huko, hao wengine ni miungu tu ikiwa ni pamoja na wa Waitalia, wa Wachina, wa Wasukuma nk. Mungu wa Watanzania anayewalinda wao tu hayupo Mbinguni wala duniani!
Unaangalia gharama unaangalia maisha? Maisha yana bei gani rahisi unayoijua wewe? Mmeona elimu ni ghari sasa mnajaribu ujinga eti!Unajua ni gharama kiasi gani kufuata huo mlolongo wa sayansi na kuzinatia matokeo yake?
Tazama jinga lingine hili kwa hiyo unataka kusemaje?Je ni nchi gani za Africa wamewapima wananchi na kujua kiwango cha tatizo
Sikupatii picha siku ukikumbwa na kovidi 19 utakavyotumua macho kama malimao, unadhani kuambiana ukweli ni kutishana?Israel yenye watu milioni 9 ilikuwa na maambukizi karibu milion 1 na vifo elfu 5 kama ulivyosema.
Bado hoja yangu iko palepale, kwamba pamoja na ustarabu wote wakujifungia ndani na kuvaa mibarakoa bado covid 19 imewatandika vilivyo.
Hitimisho: hakuna njia yeyote iliyoonesha matunda ya kupunguza corona zaidi ya kuijiondokea yenyewe naturally. Naungana na rais, tusitishane.
Ukweli upi?Sikupatii picha siku ukikumbwa na kovidi 19 utakavyotumua macho kama malimao, unadhani kuambiana ukweli ni kutishana?
Akili za kihuni hiziIsrael yenye watu milioni 9 ilikuwa na maambukizi karibu milion 1 na vifo elfu 5 kama ulivyosema.
Bado hoja yangu iko palepale, kwamba pamoja na ustarabu wote wakujifungia ndani na kuvaa mibarakoa bado covid 19 imewatandika vilivyo.
Hitimisho: hakuna njia yeyote iliyoonesha matunda ya kupunguza corona zaidi ya kuijiondokea yenyewe naturally. Naungana na rais, tusitishane.
Science ina require experiment and proof. sio uswahili.We unaonekana hujui kuhusu virusi kabisa. Hivi Mungu anaweza kuwa na majibu yanayoexpire kweli yani kipindi kile atusaidie leo atuache duu. Ukifuata sayansi utajua kwann sahiv tumepigwa kuliko mara ya kwanza achana na imani Mfu..
Hizo hatua unazosema kama kufunga mashule,uzingatiaji wa kuvaa mask na kunawa mikono ulidumu kwa muda gani kiasi cha kusema ilisaidia kupunguza maambukizi? Mapema sana sisi tulifungua shughuli zote na kuacha kuzingatia kunawa mikono na kuvaa mask hilo la Corona kupungua lilitukuta sisi tushafanya ile party ya kuiaga corona muda mrefu tu.Ilipungua dunia nzima lakini Tanzania pia ilichukuwa hatua kama kufunga shule na kampeni za mask na kunawa mikono lakini tulionywa itakuja second wave badala ya kujiandaa na second wave tukaanza kiburi, ingekuwa hawakujuwa kuwa wave ya kwanza itapungua wasingesema kuna second wave haiwezi kuja ya pili bila kuisha ya kwanza haya mambo yalitabiriwa na wataalamu sasa hata second wave tungewahi kuchukuwa tahadhari na sisemi lockdown tungefanya kama mwanzo tu ingepunguza kiasi. wenzetu wakawa busy kutafuta chanjo sababu wanajuwa huu sio mwisho sisi tukasema corona imekimbia Mungu anatupenda hatukujiandaa na second wave ndio unayoona leo haya tumekana mpaka tumeanza kuelewa.
Marekani imegawa hela za bure kwa wayahudiUngeelezea hiyo jewish manag protocol ina utaratibu gani ili na wewe uingie katika historia ya kuokoa maisha ya wale watakaitumia wakihusi ama kuthibitisha kuambukizwa... Ingekuwa vyema zaidi ya kumuongelea JPM jambo ambalo haliwezi badilisha chochote