Savey kuna watoto wakali jamani kiukweli

Wengi wao ni vinuka mokojo tu wanaopelekeshwa na njaa na wengine tamaa za mambo mazuri kabla ya muda wake. Baadae wanaanza kusumbua Masheikhe na Wachungaji wawaombee ili waolewe.
Wachungaji na mashehe wanakazi Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…