Saver inahitajika

Saver inahitajika

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Poleni na majukumu, kwa wale wajasiliamali wezangu nahitaji msaada wenu nimekwama, nimepata katenda ka kujenga networking mahali nimefanya kwa hatua zote, mwisho nimekwama kwenye Saver. Aina ya Saver ninayohitaji ni. (Hp Proliant DL380p-G8 Intel Xeon E5-2609) (2.4GHz/14-core/10MB/80w),8GB (1X8GB), P420i/512MB FBWC 2x300GB SAS HDD, DVD-RW, 1x460W au zaidi. Malipo ni baada ya siku 30 tangu makubaliano. mawasiliano 0773 944 944
 
Uko wapi, hiyo kazi unafanyia wapi! tatizo ni kwenye malipo, inafika siku30 wewe haujalipwa itakuwaje na mtu anataka pesa yake!
 
mimi niko Dar, ofc iko Dar ila kazi iko mkoa, makunaliano yataheahimiwa.
 
samahani wakuu ni sever

Asante kwa kurekebisha. Lakini professionally si jambo zuri kuzoea kutokuwa makini, kwa mfano, kutamka au kuandika majina ya watu kwa ufasaha. Tabia hii hujengeka na baadaye huwa sehemu ya maisha yako, tuliza ufahamu.

Mtu mmoja alizua kituko mbele ya wageni aliporatibu semina kwa kukosa umakini kama wewe, badala ya kupiga simu Chick King kuagiza kuku boksi 8 za kuku waliokaangwa ili kuliwa na wageni kwenye semina, yeye akapiga simu King Chick ambao ni wauza vifaranga na kuagiza boksi 8 akiomba zipelekwe saa 4 ofisini kwake. Saa 4 juu ya alama, boksi 8 za vifaranga zikawa delivered huku watu wanasubiri snacks wapate mlo
 
Hivi ni Sever au Server ?! napita tu, umakini zaidi unahitajika
 
Wanataka OS gani ya Server, LINUX au MICROSOFT? Na ya mwaka gani?
 
Wanataka ya MICROSOFT WINDOWS 2008. twaweza wasiliana ndugu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom