Habari zenu wasomi,
najua ndo mnaparangana ku confirm vyuo now poleni mana wengi mtapata vyuo ambavyo hamkutaka, nilipitia izo boring stuff
kama umechaguliwa S.t augustine mwanza karibu sana hata mimi nilijua nitasoma udsm au mzumbe lakini ndo ivo soon utajua namaanisha nin. mazingira hapa ni mazuri joto kwa mbali kaupepo ka ziwani aaaah malimbe pazuri kwa watakaochaguliwa BAEC (bachelor of arts in economics) mmepata mwenyeji nichek nikuelekeze kila usichokijua kuhusu kozi/maisha/gharama/masomo/hustle nk